Na ndio hao baadae hujutia endapo wakitendwaWengi wanabadili kwa ajili ya mapenzi tu na si imani, hii ni hatari sana
Kama umeridhia na huwezi jutia ni saw tu maana Mwenyezi Mungu tunae muabudu ni mmoja
Do you think baada ya kuanzisha familia mambo yatakwenda vizuri na kila mtu akatumikia imani yake vizuri? vipi watoto watafuata wapi?Dini huwa ni kikwazo kikubwa kwa baadhi ya watu wenye msimamo wa dini zao... Wapo ambao hufikia kuvunja uhusiano sababu ya kikwazo cha dini.
Linapokuja suala la kubadili dini ni uamuzi wa mtu, wapo wanaokubali na wapo wanaokataa!!! Mungu tunaemwamini ni mmoja lakini kila mtu ana uhuru wa kuamua mwenyewe dini anayotaka!!!
Sawa mkuu unaweza kuwa sahihi au kinyume chakeMkuu;
Umetoa ushauri mzuri sana ila ukamalizia vibaya. Nakubaliana nawe kuwa, kama mkiridhiana kuwa pamoja regardless ya imani zenu hapo sawa tu. Lakini ninachokataa ni kule kutuaminisha kuwa mungu tunaye muabudu ni mmoja. Hata siku moja usiniambie kuwa Allah Subuhannah Wa Taallah ati ni sawa na huyo wa wagalatia. Hapanaaaaa. Tena usiwachokoze watu wake. Tena akija kwangu hamalizi mwezi kabla sijamsilimisha.
Sawa mkuu unaweza kuwa sahihi au kinyume chake
Na ndio kukomaa kiakiliMkuu;
Nipo tiyari kukosolewa au kufundishwa lakini sio kubishana
Nafikiri hujanielewa, uhuru wa kuamini dini unayo itaka haiingii kwenye ndoa kwa upande wangu, nimezungumzia walio kwenye uhusiano tuu. Lakini Linapokuja swala la ndoa lazima wote muwe kitu kimoja sababu ya watoto na kuwa na familia moja imara.Do you think baada ya kuanzisha familia mambo yatakwenda vizuri na kila mtu akatumikia imani yake vizuri? vipi watoto watafuata wapi?
Sio sababu ya mapenzi tuu sababu ya ndoa na familia yangu ninayoenda ianza. Kwangu mie ni sawa maana naamini Mungu ni mmoja ila dini ndo tofauti!!!Kwa hiyo unasaliti imani yako kwa ajili ya mahusiano ya kimapenzi. Is this right pia??
Anayebadili dini kisa tu ndoa ndio mnaweza tengeneza familia nzur mwanzoni ila mmoja wapo akifa bac aliyebadili dini kunauwezekano mkubwa sana wa kurud kweny dini yake hususan wanawake na kufanya watoto wataabikeila kwa KE inaonekana hili jambo sio gumu sana
Ndioila kwa KE inaonekana hili jambo sio gumu sana