Hata mla kiti moto unamsilimisha??Mkuu;
Umetoa ushauri mzuri sana ila ukamalizia vibaya. Nakubaliana nawe kuwa, kama mkiridhiana kuwa pamoja regardless ya imani zenu hapo sawa tu. Lakini ninachokataa ni kule kutuaminisha kuwa mungu tunaye muabudu ni mmoja. Hata siku moja usiniambie kuwa Allah Subuhannah Wa Taallah ati ni sawa na huyo wa wagalatia. Hapanaaaaa. Tena usiwachokoze watu wake. Tena akija kwangu hamalizi mwezi kabla sijamsilimisha.
Mkuu;

Hata mla kiti moto unamsilimisha??
Mungu mmoja nafsi tatu sio sawa na Mungu mmoja nafsi moja , hivyo Mungu anayeabudiwa na dini hizi mbili kuu ni tofauti. Tuache kisingizio kuwa Mungu ni huyo huyo.
Mwanamke hana dini lakin ana imaniBinafsi naamini mwanamke hana dini
Daah misemo mingine ya kizamani bana inatakiwa ifanyiwe marekebishoBinafsi naamini mwanamke hana dini
Mkuu, umejitahidi kueleza jambo hiki kwa umakini mkubwa. Nakupongeza sana. Huku wasiwasi wako ukibaki kuwa na mashiko, napenda nikukumbushe msemo juu "ubi caritas et amir, Deus ibi east". Yaani palipo na ukarimu na upendo, Mungu yupo.Amani iwe juu yenu!!
Wapenzi wengi wamejikuta kwenye mtihani wa kupendana na wenza wao ilhali imani za dini zao huwa zipo tofauti. Jambo ambalo siku zote nimekuwa nikiliamini ili mtu awe na familia iliyo bora lazima nyumba iwe na imani madhubuti. Kuwepo kwa imani mbili ni kugawa watoto na hata imani watakayoifuata baadae mara nyingi huwa hawaitendei haki ipasavyo.
Nakubali kuwa kuna familia nyingi ambazo zipo huku wazazi wakiwa na imani zao tofauti. Binafsi yangu huwa naona hili halipo sawa kabisa. Sijui wadau mnalisemeaje hili?
Religion is an opium to people's mindsMkuu;
Umetoa ushauri mzuri sana ila ukamalizia vibaya. Nakubaliana nawe kuwa, kama mkiridhiana kuwa pamoja regardless ya imani zenu hapo sawa tu. Lakini ninachokataa ni kule kutuaminisha kuwa mungu tunaye muabudu ni mmoja. Hata siku moja usiniambie kuwa Allah Subuhannah Wa Taallah ati ni sawa na huyo wa wagalatia. Hapanaaaaa. Tena usiwachokoze watu wake. Tena akija kwangu hamalizi mwezi kabla sijamsilimisha.
Wengi wanabadili kwa ajili ya mapenzi tu na si imani, hii ni hatari sana
daa umegusa penyewe kabisa kaka mimi nina mpenzi ambae ni muislamu pia nimwalimu wa shule ya msingi moja wapo hapa daa najua hawezi kuwemo humu kwani nilimpiga marufuku kujihusisha na hii mitandaoAmani iwe juu yenu!!
Wapenzi wengi wamejikuta kwenye mtihani wa kupendana na wenza wao ilhali imani za dini zao huwa zipo tofauti. Jambo ambalo siku zote nimekuwa nikiliamini ili mtu awe na familia iliyo bora lazima nyumba iwe na imani madhubuti. Kuwepo kwa imani mbili ni kugawa watoto na hata imani watakayoifuata baadae mara nyingi huwa hawaitendei haki ipasavyo.
Nakubali kuwa kuna familia nyingi ambazo zipo huku wazazi wakiwa na imani zao tofauti. Binafsi yangu huwa naona hili halipo sawa kabisa. Sijui wadau mnalisemeaje hili?
daa umegusa penyewe kabisa kaka mimi nina mpenzi ambae ni muislamu pia nimwalimu wa shule ya msingi moja wapo hapa daa najua hawezi kuwemo humu kwani nilimpiga marufuku kujihusisha na hii mitandao
sasa tatizo lipo hapa kila mala amekua akinilazimisha kumuoa na akikili kuwa tayari kubadilisha dini yake na kuja kwangu ila nikiangalia kwaupande wa ndugu zake yani baba mama kaka zakee yani duuu niwatu wadini hiyo kupitiliza huwa namtaadharisha juu ya kutengwa na ndugu zake lakini yeye hajali hilo ila mawazo yangu juu ya wazazi wake kweli sijui kama hawataniloga hebu nishaurini kwakupitia uzi huu wa mdau alie uanzisha
ni ushauri mzuri ila wapo walio shauri kuwa huyo ndio anafaa kwani hatokua mjuaji au mgonvi kwani anajua wewe ndio kimbilio pekee kwakeTafuta mlioendana na dini yako sikushauri kabisa kwa sababu ndoa yenu itakuwa haina baraka kabisa na huyokuwa na amani mapenzi ni upofu sasa analazamisha ila akipata anachokitaka atajuta baadae