Hapo nami nakuunga mkono maana Mungu tunaemuabudu wakristo ni Mungu aliehai Mungu wa Ibrahimu,Isaka na Yakobo(Israel) aliemtoa mwanawe wa pekee yani Yesu Kristo aje aukomboe ulimwengu katika dhambi. Asie muamini Yesu Kristo kuwa ni mwana wa Mungu huyo hatuko pamoja ni mpinga Kristo ambae kwa imani yangu hamwamini Mungu.Mkuu;
Umetoa ushauri mzuri sana ila ukamalizia vibaya. Nakubaliana nawe kuwa, kama mkiridhiana kuwa pamoja regardless ya imani zenu hapo sawa tu. Lakini ninachokataa ni kule kutuaminisha kuwa mungu tunaye muabudu ni mmoja. Hata siku moja usiniambie kuwa Allah Subuhannah Wa Taallah ati ni sawa na huyo wa wagalatia. Hapanaaaaa. Tena usiwachokoze watu wake. Tena akija kwangu hamalizi mwezi kabla sijamsilimisha.