Huyo dawa yake ndogo..idivert kwa kKova'jamani naombeni mnisaidie jinsi ya kumblock mtu simu yake isiingie kwako...nimechoka...so irritating!
kuna mtu ananisumbua hata simjui aisee kila saa anabipu ...dunia hii ya maextreme kuna mtu anabipu kweli...ukipiga haeleweki
jamani naombeni mnisaidie jinsi ya kumblock mtu simu yake isiingie kwako...nimechoka...so irritating!
Ye kaomba ma procedures kuhusu sumsung apo juu ambayo inatumia androids.
wewe kijana ...umelewa?
Huyo dawa yake ndogo..idivert kwa kKova'
Iweke humu tumuendee hewani.
tena samsung ndo simple sana mkuu inazo options kibao za ku reject numbers za watu wasumbufu,,....wakipiga tu cm wanaambiwa ur no is bussy
Dr na wewe mechemsha Dipu ni dawa ya kuogeshea Ng'ombe kwenye mabwawa na nyingine huwekwa kwenye dawa za Dis-infectant dawa za chooni huku mitaaniHuyo atakuwa ana-dipu sio bipu! Pole sana Smile! Bila shaka wataalamu watakusaidia!
Aisee nami naomba msaada huo,yangu ni samsung galaxy note ii
Kama unatumia smartphones you can ....
Sema aina gani ya simu utasaidiwa
Iphone 5 mkuu njiwa
Njiwa mambo vp?unanikumbuka?
Sema app inayotumika basi kama ni smartphone natumia