Teeeeeeh teeeeeeeeh, ulipotea njia hapoDu,huyu pm nilimwamini ila sasa naona anaanza kujichanganya
Haya wahi ukachukue mshiko wako lumumbaDah kwa majibu haya ya Waziri Mkuu hakika Mbowe yupo uchi wa mnyama
HOJA ZA MBOWE BUNGENI ZAJIBIWA
#Mosi; "Kwamba hakuna mpango wa maendeleo wa serikali hdi sasa. Yani serikali inaendeshwa kwa matukio. .Hakuna mpango mkakati unaotumika kuongoza masuala mbalimbali ya serikali. Yani Rais Magufuli anataka Tanzania ifike mahali ambapo hata yeye hajui ni wapi. Washauri wake wameshindwa kumpa 'Focus'."
JIBU: Mbowe amekurupuka vibaya huenda kuliko kiongozi yeyote wa upinzani Bungeni ktk dunia hii:Tanzania ina Dira ya Taifa 2025 ambayo Mbowe anaijua na inaendelea kutuongoza kuhusu kule tunakotaka kwenda.2.Tanzania ina katiba ambayo Mbowe anaijua na ndiyo inayoongoza masuala ya nchi kwa sasa na ndiyo iliyomuingiza hata yeye Bungeni Dodoma alipo sasa. 3.Tanzania ina Bajeti ya mwaka ambayo Mbowe na wenzake walishiriki kuipitisha June mwaka jana na ndiyo Rais Magufuli anayoitumia kuendesha nchi kwa sasa akiongeza na ubunifu na uchapakazi wake.4.Rais anatokana na CCM na ana ilani anayoitekeleza na ambayo aliiuza kwa wananchi wakaikubali na wakamwamini 5.Chini ya Sheria ya Majukumu ya Mawaziri na nguvu alizopewa na Katiba Rais anaendesha nchi,anateua watendaji kumsaidia na anawapa makukumu ya kuyatekeleza.5.Mpango wa miaka 5 wa Kwanza wa Maendeleo bado unatekelezwa na unaisha Juni mwaka huu na Mpango mpya umeshawasilishwa Bunge-kwa haya tu machache na nchi inavyozidi kwenda ikiwa na amani na utulivu na wananchi wakiwa na matumaini tele, ukiachilia mbali, sheria na taasisi mbalimbali na mipango mingine ya mda wa kati inayoendelea kutekelezwa, kwa mtu kusema Rais JPM hana Mpango na eti anaongozwa na matukio ni kauli inayoweza kutoka tu kwa mtu aliye katika usingizi mnono tena wa pono!!!
#pili "kwamba Waandishi wa habari kuzuiwa kuingia Bungeni ni ukiukwaji wa haki za msingi za kikatiba. Kwa mujibu wa Katiba ya nchi ibara ya 18 na 19 haki ya mtu kupata habari."
Jibu: Kwanza si kweli na anajipotosha.Hakuna mwandishi aliyezuiwa kuingia Bungeni. Kama ni mjadala wa live huu kwanza kimsingi ulishakwisha..kuurejesha tena ndio mfano halisi wa watu wanaokwenda kwa matukio-Ukawa hapa wamedhihirisha wanakwenda na matukio hawana plan yoyote kwa sasa-wamevurugwa.Lakini juu ya hoja kuwa Ibara tajwa inatoa uhuru wa habari ni sawa lakini Je,uhuru wa habari ulioelezwa hapo una maana anayotaka Mbowe tuamini kuwa hauna mipaka wala ukomo...kama anataka tuamini hivyo Je,vikao vya ndani vya Chadema kwa nini havioneshwi live kwa manufaa ya nchi,demokrasia lakini pia na kwa manufaa ya wanachama wa Ukawa.Mbowe aache kwenda na matukio.Bunge limeunda studio waandishi wamepunguziwa gharama a kuweka kila TV kamera zake na inatuma picha za kisasa kabisa lakini pia wanahabari wa vyombo vyote wapo Bungeni na kila siku wanaandika matukio.Mbowe aache siasa za matukio haki ya kupata habari sio lazima iwe live bali mabingwa wa eneo hilo na taaluma hiyo ya habari ambayo yeye haijui wanapigania habari zisibinywe baas na sio lazima iwe live...kama Mbowe anabisha hajakurupuka ataje kifungu na akinukuu kinachosema habari lazima iwe live.
#Tatu; "Kupinga maamuzi ya Ofisi ya Spika kupunguza matumizi ya bajeti ya Bunge na kurudisha fedha serikalini bila kushirikisha bunge. Hata kama Spika alitaka kupunguza bajeti ya Bunge alipaswa kushirikisha Bunge kwanza ili wajadili na kufikia makubaliano, sio kujiamulia kibabe.!
Jibu: Hoja hii nayo ni muflisi kabisa na inaweza kujibiwa kwa ujumla wake kwamba Bajeti iliyopitishwa na inayoyumika sasa ya Serikali ya Awamu ya 5 usimamizi na utekelezaji wake uko chini ya Rais na Waziri wa Fedha.Sheria ya Usimamizi wa Bajeti (Appropriation Act) na kwa hapa nazungumzia ya 2015 kifungu cha 6 Waziri wa Fedha anapewa mamlaka (baada ya maagizo au mashauriano ya ndani Serikalini) kuhamisha matumizi ya fedha yoyote au kuzuia kutumika kwa fedha yoyote iliyotengwa ktk Bajeti kisha akaihamishia katika matumizi mengine ya Serikali.Tofauti na changa la macho analotaka kutuletea Bw. Mbowe kwamba kwa mfano wa fedha za Bunge zilizopelekwa ktk matumizi mengine eti Bunge lingejadili kwanza kifungu hiki cha 6 kinamsuta kinasema tofauti
HOJA ZA MBOWE BUNGENI ZAJIBIWA
#Mosi; "Kwamba hakuna mpango wa maendeleo wa serikali hadi sasa. Yani serikali inaendeshwa kwa matukio. Hakuna mpango mkakati unaotumika kuongoza masuala mbalimbali ya serikali. Yani Rais Magufuli anataka Tanzania ifike mahali ambapo hata yeye hajui ni wapi. Washauri wake wameshindwa kumpa 'Focus'."
JIBU: Mbowe amekurupuka vibaya huenda kuliko kiongozi yeyote wa upinzani Bungeni ktk dunia hii:Tanzania ina Dira ya Taifa 2025 ambayo Mbowe anaijua na inaendelea kutuongoza kuhusu kule tunakotaka kwenda.2.Tanzania ina katiba ambayo Mbowe anaijua na ndiyo inayoongoza masuala ya nchi kwa sasa na ndiyo iliyomuingiza hata yeye Bungeni Dodoma alipo sasa. 3.Tanzania ina Bajeti ya mwaka ambayo Mbowe na wenzake walishiriki kuipitisha June mwaka jana na ndiyo Rais Magufuli anayoitumia kuendesha nchi kwa sasa akiongeza na ubunifu na uchapakazi wake.4.Rais anatokana na CCM na ana ilani anayoitekeleza na ambayo aliiuza kwa wananchi wakaikubali na wakamwamini 5.Chini ya Sheria ya Majukumu ya Mawaziri na nguvu alizopewa na Katiba Rais anaendesha nchi,anateua watendaji kumsaidia na anawapa makukumu ya kuyatekeleza.5.Mpango wa miaka 5 wa Kwanza wa Maendeleo bado unatekelezwa na unaisha Juni mwaka huu na Mpango mpya umeshawasilishwa Bunge-kwa haya tu machache na nchi inavyozidi kwenda ikiwa na amani na utulivu na wananchi wakiwa na matumaini tele, ukiachilia mbali, sheria na taasisi mbalimbali na mipango mingine ya mda wa kati inayoendelea kutekelezwa, kwa mtu kusema Rais JPM hana Mpango na eti anaongozwa na matukio ni kauli inayoweza kutoka tu kwa mtu aliye katika usingizi mnono tena wa pono!!!
#pili "kwamba Waandishi wa habari kuzuiwa kuingia Bungeni ni ukiukwaji wa haki za msingi za kikatiba. Kwa mujibu wa Katiba ya nchi ibara ya 18 na 19 haki ya mtu kupata habari."
Jibu: Kwanza si kweli na anajipotosha.Hakuna mwandishi aliyezuiwa kuingia Bungeni. Kama ni mjadala wa live huu kwanza kimsingi ulishakwisha..kuurejesha tena ndio mfano halisi wa watu wanaokwenda kwa matukio-Ukawa hapa wamedhihirisha wanakwenda na matukio hawana plan yoyote kwa sasa-wamevurugwa.Lakini juu ya hoja kuwa Ibara tajwa inatoa uhuru wa habari ni sawa lakini Je,uhuru wa habari ulioelezwa hapo una maana anayotaka Mbowe tuamini kuwa hauna mipaka wala ukomo...kama anataka tuamini hivyo Je,vikao vya ndani vya Chadema kwa nini havioneshwi live kwa manufaa ya nchi,demokrasia lakini pia na kwa manufaa ya wanachama wa Ukawa.Mbowe aache kwenda na matukio.Bunge limeunda studio waandishi wamepunguziwa gharama a kuweka kila TV kamera zake na inatuma picha za kisasa kabisa lakini pia wanahabari wa vyombo vyote wapo Bungeni na kila siku wanaandika matukio.Mbowe aache siasa za matukio haki ya kupata habari sio lazima iwe live bali mabingwa wa eneo hilo na taaluma hiyo ya habari ambayo yeye haijui wanapigania habari zisibinywe baas na sio lazima iwe live...kama Mbowe anabisha hajakurupuka ataje kifungu na akinukuu kinachosema habari lazima iwe live.
#Tatu; "Kupinga maamuzi ya Ofisi ya Spika kupunguza matumizi ya bajeti ya Bunge na kurudisha fedha serikalini bila kushirikisha bunge. Hata kama Spika alitaka kupunguza bajeti ya Bunge alipaswa kushirikisha Bunge kwanza ili wajadili na kufikia makubaliano, sio kujiamulia kibabe.!
Jibu: Hoja hii nayo ni muflisi kabisa na inaweza kujibiwa kwa ujumla wake kwamba Bajeti iliyopitishwa na inayoyumika sasa ya Serikali ya Awamu ya 5 usimamizi na utekelezaji wake uko chini ya Rais na Waziri wa Fedha.Sheria ya Usimamizi wa Bajeti (Appropriation Act) na kwa hapa nazungumzia ya 2015 kifungu cha 6 Waziri wa Fedha anapewa mamlaka (baada ya maagizo au mashauriano ya ndani Serikalini) kuhamisha matumizi ya fedha yoyote au kuzuia kutumika kwa fedha yoyote iliyotengwa ktk Bajeti kisha akaihamishia katika matumizi mengine ya Serikali.Tofauti na changa la macho analotaka kutuletea Bw. Mbowe kwamba kwa mfano
Una elimu gani? Kilichozungumzwa ni instrument siyo mpango wa maendeleo
Hakika. Wamekuta kichwa kilichotulia ai kama haww vihiyo wa UKAWAKweli hawa walizoea kumuonea mtoto wa mkulima lakini sasa wamekutana na mzee majaliwa.
Bosi wako leo yupo uchi wa mnyama. Sijui atakuja na swaga gani tenaHaya wahi ukachukue mshiko wako lumumba
ishu ya live inawatafuna watu, waligeuza bengini ni sehemu ya maigizo wakiwa kwenyekamati wanakubaliana once wakiingia bungeni wanajua wako live wana kataa mambo ambayo kamatini walikubali mfano muswada Wa gase. ili waonekane wanapinga! bunge liligeuzwa Uwanja Wa kutafuta tension na sifa! Kwa kutorushwa ili kuziba hilo gape piga mzigo JimbonMmekataa kuruka LIVE ili muendeleze propaganda za kijinga
Kweli we bado unamuamini MTU aliyeuza chadema mpaka Leo? Ukapimwe akili.Eti waziri mkuu amvua nguo mbowe, jamani watu wengine bana
Mbowe leo yupo uchi wq mnyamaHujitambui dogo acha ushabiki katiba ni sheria mama unapoivunja ni sawa na kumchungulia mzazi wako bafuni.
Ishu ya uandishi ni nyingine na majibu ni nyingine, usionyeshe ujinda wako.Kwa uandishi huu,ulipaswa kuwa kwenye kitabu cha Kainerugaba Msemakweli cha Mafisadi wa Elimu Tanzania. Bure kabisa!
Tabia yako ya kiherehere bado tu haujaacha....Wewe mwenyewe ni mpinzani wa akili zako
Kama wewe ulivyo uchi wa kukuMbowe leo yupo uchi wq mnyama
Mkuu, hawa UKAWA ni vihiyo. Hayo majibu yanawafanya haja kubwa zigonge kwenye chupi na kurejea tumboni. Ndo maana hakuna hata mmoja anagusa hoja zilizoelezwa na PMIshu ya uandishi ni nyingine na majibu ni nyingine, usionyeshe ujinda wako.
Ukapimwe kwanza wewe unaye endelea kukiunga mkono chama kinacho kumbatia majizi ya rasilimali za taifaKweli we bado unamuamini MTU aliyeuza chadema mpaka Leo? Ukapimwe akili.
Hakika sasa Tanzania tuna viongozi. Rais moto, PM balaa tupuTeh teh Hai imepata hati chafu kwenye ukaguzi wa mahesabu Mbowe anashupaa na mambo ya kipuuzi. Upinzani Tanzania bado Sana. Viva PM umemjibu inavyopaswa.
Jiandae kwa kuporomoshewa matusi kutoka kwa Lizaboni na jingalaoKama dhana ni kupunguza matumizi, basi waruhusu vituo vya runninga vya watu binafsi kurusha matangazo. Kuna baadhi ya vituo vipo tayari kurusha matangazo ya Bunge live. Hili tusiweke unazi, serikali ambayo haitaki kunyooshewa kidole ni serikali ambayo haikubali ushauri & mapendekezo ya wawakilishi wa wananchi.