KUB Mbowe anapwaya bungeni?

KUB Mbowe anapwaya bungeni?

Kwakweli nikisoma majibu ya hawa wana CCM mufilisi wa humu JF nikajumlisha na hayo majibu ya hovyo aliyotoa Kassim Majaliwa nikajumlisha na michango ya Joseph Msukuma, Halima Bulembo na Juma Nkamia najiridhisha kuwa CCM ni wamoja kwenye vihoja na CCM ni ileile!
kamanda muda umetoa jibu hakika Mbowe anaizika Chadema.
 
Nafikiri sasa umeweza kumtofautisha ZZK...na wajomba zako Lema na Mbowe!...umesikiliza hoja kuntu za Zitto?
Nani kampa sumu MANGULA? kwanini watu walikatazwa kwenda kumuona? Kwann mambo sasa hajawahoji waliokuwepo kwenye kikao na ni baada ya katazo la mwenyekiti?
MANGULA yupo wapi? Inasemekana kapelekwa na chama lakini hata nduguze hawajui alipo?
Kosa la membe nini? Je kuna tofauti yeyote Kati ya kutangaza nia na kugombea?
NAKUULIZA NANI KAMPA MZEE MANGULA SUMU?
Kwann mwenyekiti bwana MAGUFULI hakukaa kwenye kile kikao na badala yake alitoa maamuzi na kukimbilia kwa mufti?
Ni hayo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha Zitto kuibuka jana na tamko almost similar na lile la Mbowe linaashiria ombwe la KUB kwenye bunge la awamu ya tano.

yaani zitto aliona Mbowe hajatosha kwa hoja...
Wakati umetoa jibu
 
Kwakweli nikisoma majibu ya hawa wana CCM mufilisi wa humu JF nikajumlisha na hayo majibu ya hovyo aliyotoa Kassim Majaliwa nikajumlisha na michango ya Joseph Msukuma, Halima Bulembo na Juma Nkamia najiridhisha kuwa CCM ni wamoja kwenye vihoja na CCM ni ileile!
Dogo wakati umeshatoa majibu
 
Back
Top Bottom