De Opera
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 828
- 1,777
Wakuu, heri ya xmass na mwaka mpya? Natumaini mnaendelea vizuri!
Naomba kwa anayeweza kufahamu namna ninaweza kuanzisha ofisi ya betting, kama wakala au inakuaje. Sina ufahamu kuhusu hii. Nipitie wapi, nahitaji nini, vigezo, na mambo mengine yanayoweza kunifanya nikamilishe hii.
Ninayo frem yangu maeneo, nataka niweke betting humo.
Ahsanteni sana!