UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 8,534
- 7,739
​Mbona Kikwete tunamjua na picha zake tunaziona lakini siyo mfano mzuri wa kuigwa?
Afadhali umwambie ...Tunajivunia hilo
​Mbona Kikwete tunamjua na picha zake tunaziona lakini siyo mfano mzuri wa kuigwa?
tarehe 1.nitaweka jina langu kamili picha yng na wasiliano yng.wadau tuige mfano huu mzuri ili tufahamiane vizuri,kupunguza unafiki
unaishi wapi? Unafanya nin? Lol
Ha haaa haaaa, jamani watu wamedata hapa.......aseeee....
Unapenda kufahamika??
Toa tangazo tbc kipindi cha bango
aiseee! Hakunaga HB kama wewe.
heheheheh! mpwapwa tunazalisha majungu kwa wingi.Hivi mpwawa mnazalisha nini kwa wingi nilje nijifunze na kusafirisha?
tarehe 1.nitaweka jina langu kamili picha yng na wasiliano yng.wadau tuige mfano huu mzuri ili tufahamiane vizuri,kupunguza unafiki[/QUOTE]
Uunafiki mwingi ndo wauona mwaka mpya? Rafiki, nenda fb,
tarehe 1.nitaweka jina langu kamili picha yng na wasiliano yng.wadau tuige mfano huu mzuri ili tufahamiane vizuri,kupunguza unafiki