kuanzia tarehe 1.1.2012 ninajitambulisha rasmi hapa jamvini

Robot aliwahi kumuhoji Majid kuwa utajuaje kuwa huyu anatumia jina halisi au fake??

Ukiipima vizuri hiyo hoja ya "jina halisi" na "picha halisi" imejificha kwenye mazoea tu ila hamna mantik....

BTW mbona wengi tunajuana tu humu.... Wewe tu!
 
hana ubavu huo angekuwa na ubavu huo kwa nini mwanzoni hakuregister na jina lake halisi
 
tatizo mmezoea picha za kwenye face book,huku jf hz ndo picha zetu halisi ma great thinker bhana,chezeya weweee......
 
nasikitika kuwatangazia kwamba ndugu kimboka ambaye aliahidi kujitambulisha hapa jf kwa jina lake halisi ameaga dunia.inasikitisha sana!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom