Mkuu unashangaa nini? Je ulishafika Geita? Kama hujafika ngoja nikueleweshe; Geita mjini Bar na Grocery ni nyingi kuliko nyumba wanazoishi watu!Katibu kahesabu bar zilizopo kando mwa barabara ya shekilango mpaka Bamaga kapata jumla bar 250 alikuwa anahoji mameneja kuhusu mteja kilevi kikimzidi wanafanyaje ni Bar mbili tu zina vyumba vya kuwahifadhi wateja walio zidiwa kwa kukata maji yenye rangi ya mende. Hii ndo sinza kwa wajanja.
ningependa kujua walevi wengi ni wa mkoa gani?
Kauliza vizuri kabisaUna maanisha nini? Walevi wa bar za Shekilango ni wa hapa hapa Dar, unafikiri mtu atatoka Morogoro aje kunywa Sinza na arudi Moro?
katika ajali za barabarani zote zinazosababishwa na ulevi wa madereva ni asilimia 10 tu. Laiti kama madereva wote wangekuwa wanaendesha magari wakiwa wamelewa tungepunguza ajali kwa asilimia 90
Thats why, Wakaburu wanaipenda TZ sana.Their investments (POMBE) are viable with huge profit margin 120bilions a months na serikali inaweka kibindoni 50 bilions as Tax.Ila takwimu za ndoa zinazo vunjika, magonjwa ya Ini/figo, Ajali na vifo vinavyochangiwa na Pombe hazirekodiwi wala kusemwa.
Na guest houses bubu na zilizosajiliwa zipo double ya hiyo idadi ya bar i.e zaidi ya 500 na zote room occupancy rate ni over 90% daily huku huduma za "part time" zikiwa ndo maarufu zaidi.
Karibu sana sinza Fidel80.
Mi niko Bar namba 52 ktk hzo 250 hapa maeneo ya mugabe.. Karibu walao kachupa kamoja..
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums