Kuanzia Shekilango mpaka Bamaga kuna Baa 250!

Kuanzia Shekilango mpaka Bamaga kuna Baa 250!

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,944
Reaction score
4,511
Katibu kahesabu bar zilizopo kando mwa barabara ya shekilango mpaka Bamaga kapata jumla bar 250 alikuwa anahoji mameneja kuhusu mteja kilevi kikimzidi wanafanyaje ni Bar mbili tu zina vyumba vya kuwahifadhi wateja waliozidiwa kwa kukata maji yenye rangi ya mende.

Hii ndo Sinza kwa wajanja!
 
si kitoto bado nyumba za wenyeji hapo hazijatajwa idadi yake
 
Na guest houses bubu na zilizosajiliwa zipo double ya hiyo idadi ya bar i.e zaidi ya 500 na zote room occupancy rate ni over 90% daily huku huduma za "part time" zikiwa ndo maarufu zaidi.
 
Katibu kahesabu bar zilizopo kando mwa barabara ya shekilango mpaka Bamaga kapata jumla bar 250 alikuwa anahoji mameneja kuhusu mteja kilevi kikimzidi wanafanyaje ni Bar mbili tu zina vyumba vya kuwahifadhi wateja walio zidiwa kwa kukata maji yenye rangi ya mende. Hii ndo sinza kwa wajanja.

Thats why, Wakaburu wanaipenda TZ sana.Their investments (POMBE) are viable with huge profit margin 120bilions a months na serikali inaweka kibindoni 50 bilions as Tax.Ila takwimu za ndoa zinazo vunjika, magonjwa ya Ini/figo, Ajali na vifo vinavyochangiwa na Pombe hazirekodiwi wala kusemwa.
 
katika ajali za barabarani zote zinazosababishwa na ulevi wa madereva ni asilimia 10 tu. Laiti kama madereva wote wangekuwa wanaendesha magari wakiwa wamelewa tungepunguza ajali kwa asilimia 90
 
Waganga wa kienyeji wanaounganisha na freemason wako wangapi , naomba ufanye na idadi ya namba za shule maeneo hayo. Halafu utajua kwa nini hii nchi tupo hapa
 
katika ajali za barabarani zote zinazosababishwa na ulevi wa madereva ni asilimia 10 tu. Laiti kama madereva wote wangekuwa wanaendesha magari wakiwa wamelewa tungepunguza ajali kwa asilimia 90

Hii nimeipenda, Chukua LIKE! Wacha niendelee na shots zangu za Hennesy. After all its Christmas today.
 
Thats why, Wakaburu wanaipenda TZ sana.Their investments (POMBE) are viable with huge profit margin 120bilions a months na serikali inaweka kibindoni 50 bilions as Tax.Ila takwimu za ndoa zinazo vunjika, magonjwa ya Ini/figo, Ajali na vifo vinavyochangiwa na Pombe hazirekodiwi wala kusemwa.

Put it this way, mjinga mwenye njaa anaposhinda amelewa 24/7, 365/12 , matokeo yake ni watanzania tulivyo. Hatutaki kusoma, Hatufanyi kazi, hatutaki kulima starehe ndio jadi yetu.
 
na zinafanya kazi karibu au zaidi ya robo tatu ya siku sasa tunajiuliza muda wa kufanya kazi ni upi na wa kupumzika ni upi.
Mgosi Kaazi kweikwei
 
Hahahahahahahahahahaha
Fidel80 hivi ile ya pale imepigiwa mahesabu?
 
Last edited by a moderator:
na zinafanya kazi karibu au zaidi ya robo tatu ya siku sasa tunajiuliza muda wa kufanya kazi ni upi na wa kupumzika ni upi.
Mgosi Kaazi kweikwei

Mkuu Rutta hizi ni ambazo zipo kando kando mwa barabara tu.
 
Katibu kahesabu bar zilizopo kando mwa barabara ya shekilango mpaka Bamaga kapata jumla bar 250 alikuwa anahoji mameneja kuhusu mteja kilevi kikimzidi wanafanyaje ni Bar mbili tu zina vyumba vya kuwahifadhi wateja walio zidiwa kwa kukata maji yenye rangi ya mende. Hii ndo sinza kwa wajanja.

is it a sin?
 
Sinza kwa viota vya maraha hakika inaongoza kwa hii makitu, zamani ilikua Migo migo!
 
Keko ukianzia pale VETA hadi DUCE upande mmoja tu wa kushoto,umbali ambao hauzidi km 1 na nusu,kuna GUEST HOUSES zinazozidi 200.:mimba::mod:
 
Ina maana ww huoni tatizo hapo?

tatizo la kila nyumba bar?

Ingekuwa tatizo kama ingetokea kwa bahati mbaya, maana kwa hali ilivyo kila bar ina leseni ya biashara. Sasa mimi nitaonaje tatizo ilhali tuliowakabidhi mamlaka ya kuidhinisha ama kukataza haya mambo wanaona sio tatizo halafu na sisi tupo kwenye keyboards kulalamikia kitu ambacho hatuna dhati ya kukibadilisha...
 
Karibu sana sinza Fidel80.

Mi niko Bar namba 52 ktk hzo 250 hapa maeneo ya mugabe.. Karibu walao kachupa kamoja..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom