Kuanzia mwakani Simba itakuwa haina tofauti na Ihefu

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,238
22,643
Wandugu,

Hii team kwa kweli inatia huruma sana. Kwa sasa sio Simba ile ya kushtua, Simba amekuwa MBUZI. Hata ushindi wenyewe wanapata kwa kuokoteza, team haina morali, pesa, udhamini mbovu, uchawi sasa wnatoboaje kwa mfano?

Yule CEO ndiye chanzo cha yote haya lakini kaamua mwakani akimbie, yaani kavua nguo hataki kuoga!

Timu ina matatizo mengi;
~Uchawi- walimtuma gadiel matokeo yake kafungiwa.

~ Njaa- kwa sasa wachezaji hawapati mshahara kwa wakati tajiri naye kasusa mpaka wakapige magoti kwake.. Na wasilalamike kwake ndio anataka.

~ Usafiri- timu kubwa inatembelea Costa utadhani daladala la manzese. Poor poor.

~ Udhamini- walikataa udhamini na sportpesa sababu dau dogo walilopewa kuliko yanga, hawakujua kuwa yanga ni kubwa sasa Africa mashariki hapa matokeo yake wanadunduliza na mkataba wa kubumba wa mbet.

~ Utawala mbovu/uongozi- CEO na wenzie hawana tofauti na walevi wa wanzuki kilabuni, wanaamua mambo kwa mihemko sana na kukurupuka matokeo yake team haiendi mjini.

Wakaleta kocha wa kuunga unga mtoto wa town mgunda kwa kigezo cha kuwa wazalendo, si wangesema ukweli kuwa hawana pesa Basi?

Kwa mujibu wa takwimu Yanga ndiyo iliyofatilwa zaidi mitandaoni hapa Africa imeshika nafasi ya pill huku Simba ikikamata ya tatu..

Hii ni taa nyekundu kwa Simba kuwa sasa Yanga inakwenda kuwaacha mbali. Ni muda wa simba kushindana na kina Mtibwa na Prison.
 
Wakati Uto mnapotisha bakuli kipindi cha Zahera mbona hamkuwa Ihefu...!?

Hadi nilijitolea mchele na viberiti kuwasaidia wapishi wenu wanapotaka kuwasha moto mbona hamkuwa Ihefu...

Kwa Simba ilipo, MO kama anataka kuuza hisa zake wapo watu watazinunua asubuhi na mapema....
 
Wandugu,

Hii team kwa kweli inatia huruma sana. Kwa sasa sio Simba ile ya kushtua, Simba amekuwa MBUZI. Hata ushindi wenyewe wanapata kwa kuokoteza, team haina morali, pesa, udhamini mbovu, uchawi sasa wnatoboaje kwa mfano?

Yule CEO ndiye chanzo cha yote haya lakini kaamua mwakani akimbie, yaani kavua nguo hataki kuoga!

Timu ina matatizo mengi;
~Uchawi- walimtuma gadiel matokeo yake kafungiwa.

~ Njaa- kwa sasa wachezaji hawapati mshahara kwa wakati tajiri naye kasusa mpaka wakapige magoti kwake.. Na wasilalamike kwake ndio anataka.

~ Usafiri- timu kubwa inatembelea Costa utadhani daladala la manzese. Poor poor.

~ Udhamini- walikataa udhamini na sportpesa sababu dau dogo walilopewa kuliko yanga, hawakujua kuwa yanga ni kubwa sasa Africa mashariki hapa matokeo yake wanadunduliza na mkataba wa kubumba wa mbet.

~ Utawala mbovu/uongozi- CEO na wenzie hawana tofauti na walevi wa wanzuki kilabuni, wanaamua mambo kwa mihemko sana na kukurupuka matokeo yake team haiendi mjini.

Wakaleta kocha wa kuunga unga mtoto wa town mgunda kwa kigezo cha kuwa wazalendo, si wangesema ukweli kuwa hawana pesa Basi?

Kwa mujibu wa takwimu Yanga ndiyo iliyofatilwa zaidi mitandaoni hapa Africa imeshika nafasi ya pill huku Simba ikikamata ya tatu..

Hii ni taa nyekundu kwa Simba kuwa sasa Yanga inakwenda kuwaacha mbali. Ni muda wa simba kushindana na kina Mtibwa na Prison.
Sio ihefu tu wanakwenda kuwa kama gwambina ya misungwi kwa maana mhindi wa bombay anakusanya kilicho chake taraatibu anawaachia manyoya
 
Little Cunt...mshamba sana we salange,kwanini usiifananishe simba na kagera...
Acha uboya hakuna chochote unachojua kuhusu IHEFU
Khenzeer wewe..
 
Sio kwa kukoment mara zote izo Binti.. bandiko limekuumiza sana. Pole sana ndio ivo Simba inaenda kuwa gwambina
INawaumiza nyie utopolo sisi walaa..
Yani kama nyie mnavyopata tabu kuifikiria.
Umeona usiseme Ihefu maana unatonesha kidonda 😀 😀 😀 😀
 
Wandugu,

Hii team kwa kweli inatia huruma sana. Kwa sasa sio Simba ile ya kushtua, Simba amekuwa MBUZI. Hata ushindi wenyewe wanapata kwa kuokoteza, team haina morali, pesa, udhamini mbovu, uchawi sasa wnatoboaje kwa mfano?

Yule CEO ndiye chanzo cha yote haya lakini kaamua mwakani akimbie, yaani kavua nguo hataki kuoga!

Timu ina matatizo mengi;
~Uchawi- walimtuma gadiel matokeo yake kafungiwa.

~ Njaa- kwa sasa wachezaji hawapati mshahara kwa wakati tajiri naye kasusa mpaka wakapige magoti kwake.. Na wasilalamike kwake ndio anataka.

~ Usafiri- timu kubwa inatembelea Costa utadhani daladala la manzese. Poor poor.

~ Udhamini- walikataa udhamini na sportpesa sababu dau dogo walilopewa kuliko yanga, hawakujua kuwa yanga ni kubwa sasa Africa mashariki hapa matokeo yake wanadunduliza na mkataba wa kubumba wa mbet.

~ Utawala mbovu/uongozi- CEO na wenzie hawana tofauti na walevi wa wanzuki kilabuni, wanaamua mambo kwa mihemko sana na kukurupuka matokeo yake team haiendi mjini.

Wakaleta kocha wa kuunga unga mtoto wa town mgunda kwa kigezo cha kuwa wazalendo, si wangesema ukweli kuwa hawana pesa Basi?

Kwa mujibu wa takwimu Yanga ndiyo iliyofatilwa zaidi mitandaoni hapa Africa imeshika nafasi ya pill huku Simba ikikamata ya tatu..

Hii ni taa nyekundu kwa Simba kuwa sasa Yanga inakwenda kuwaacha mbali. Ni muda wa simba kushindana na kina Mtibwa na Prison.
Ihefu si ndiyo wale walikufumueni marinda kule kwenye mashamba ya mpunga?
 
Unaongelea Simba hii iliiyopoteza mechi moja tu sawa na Yanga?
Unazungumzia Simba hii yenye magoli mengi kuliko timu Yoyote Tanzania Msimu huu?
Haiwezekani ukawa unazungumzia Simba hii iliyofungwa magoli machache na yenye clean sheets nyingi kuliko timu zote za NBCPL.
Unataka kusema unazungumzia Simba hii inayoenda mikoani kwa Ndege kila uchao badala ya kwenda kwa hiyo coaster unayosema?
Ninakuchallenge leo hii utushawishi kuwa kusafiri kwa ndege ni gharama ndogo kuliko kusafiri kwa basi.
Kwa taarifa yako tu bonasi ya mchezaji bora wa Emirates aluminium wanayopewa wachezaji wa Simba inazidi mshahara wa mwezi wa robo tatu ya wachezaji wa Yanga ambao wastani wao wa mshahara kwa mwezi ni Milioni 1.2 Tshs
Siku zote WIVU hupofua.
 
Umemaliza...utopolo ni utopolo tuu
 
Bora mmemjibu ninyi, mimi ngemuharibia wiki nzima! Anadhani Simba itafulia kiasi hicho?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom