Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,787
Baasi nimechoka , imetosha nasimamisha research hii kuanzia leo .
Mwaka juzi nikiwa maskani na washirika wangu wa karibu , palitokea ubishi mkubwa baina yetu .
Mada ilikua ni kuwahusu ndugu zetu wa jamii ya Kimasai , ambao miongo ya karibuni walichapuka kuhamia mijini kwa shughuli zao kuu za Ulinzi , Ususi na Madawajadi .
Issue ilikua , mbona hawa jamaa ni wengi na tumechanganyikana nao jamiini , lakini hakuna baina yetu aliyewahishuhudia kwa macho Masai wanaenda kumzika Masai mwenzao .
Ndipo mie nilipo weka nadhiri ya kulitafiti hilo , huu leo umegota mwaka wa 3 utafiti wangu haujapata chanya!
Zaidi nilichoambua ni negative results.
Sijafanikiwa ktk utafiti wangu kupata jibu .
Wagonjwa wa kimasai nimeshawaona ! Jeneza la Masai nimechemka kuliona .
Baas leo nasimamisha rasmi utafiti .
Staki tena .