Kuanzia leo nasimamisha !

Kuanzia leo nasimamisha !

Kichwa cha habari kimenishtua asee nikasema hee shem wangu yamemkuta yapi. Kumbe ni ishu ya wamasai kweli hata mi sijashuhudia ila maiti nimeona ya mmasai sbbu ya kazi yangu

Kule mkufikiriapo nyie ni ku d ndisha !
 
duuu simamisha tu mkuu hata mm sijawahi kuona
 
Hiyo ya kusimamisha nayo ina kautata fulani;
Ukisimamisha italazwa wapi.
 
Karibu Arusha kila cku wamasai wanazikana huku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom