makuzi jambo
Member
- Nov 8, 2017
- 74
- 51
Shemeji usikasirike kaniweka mm n kaka yake kwelii hapo profile naomba ucmwache Dada yangu anakupendaa
Nna mpenzi wangu ambaye nimedum nae kwa mda wa miaka mitano hadi sasa,na malengo yangu ilikuwa nimuoe mwakani kama mungu angependa.na nakiri kuwa tunapendana sana,sasa kisa chenyewe ni hv.Mimi huwa siingii Facebook Mara kwa mara kutokana na ujinga ambao upo kule muda mwingi hutumia huku na great thinkers wenzangu.sasa cha ajabu Jana nimeingia Facebook nakuta kaweka picha ya lijamaaa bila aibu.halafu kaandika.I........so much.kiukweli nilipagawa sana ila badae nikamuuliza akaniambia yule ni kaka ake.nikamuuliza vipi kuhusu maneno aliyoandika,akasema kumpenda MTU sio lazima kimapenzi.nikasema sawa.sasa nimeamua kumtumia kama Malaya wengine tu huku nikitafuta mke ila bila yeye kujua.na siku atashangaa natangaza ndoa tu.wanawake msioolewa jichunguzeni inawezekana mnakosea vitu vidogodogo kama vya huyu ndizi mshale.halafu anafanya haya yote bora angekuwa anachura useme unaweza ikamsaidia mim kurudisha mawazo nyuma.ha ndizi mshale tena.narudia ntaendelea tu kutumia tu papuchi yake.
Ajiridhishe nini sasa?Oa mwanamke mwingine. That shit leave to the hooligans!Mkuu umeconfirm sio kaka ake?
Wivu wa kitoto huu.Hata akiwa kaka yake.unaanzaje kumuweka kaka ako halafu mpenzi wako hujawah muweka.
Unaweza nitajie user name yake huko Facebook ili nimshauri aache kumweka kaka akeHata akiwa kaka yake.unaanzaje kumuweka kaka ako halafu mpenzi wako hujawah muweka.
Nna mpenzi wangu ambaye nimedum nae kwa mda wa miaka mitano hadi sasa,na malengo yangu ilikuwa nimuoe mwakani kama mungu angependa.na nakiri kuwa tunapendana sana,sasa kisa chenyewe ni hv.Mimi huwa siingii Facebook Mara kwa mara kutokana na ujinga ambao upo kule muda mwingi hutumia huku na great thinkers wenzangu.sasa cha ajabu Jana nimeingia Facebook nakuta kaweka picha ya lijamaaa bila aibu.halafu kaandika.I........so much.kiukweli nilipagawa sana ila badae nikamuuliza akaniambia yule ni kaka ake.nikamuuliza vipi kuhusu maneno aliyoandika,akasema kumpenda MTU sio lazima kimapenzi.nikasema sawa.sasa nimeamua kumtumia kama Malaya wengine tu huku nikitafuta mke ila bila yeye kujua.na siku atashangaa natangaza ndoa tu.wanawake msioolewa jichunguzeni inawezekana mnakosea vitu vidogodogo kama vya huyu ndizi mshale.halafu anafanya haya yote bora angekuwa anachura useme unaweza ikamsaidia mim kurudisha mawazo nyuma.ha ndizi mshale tena.narudia ntaendelea tu kutumia tu papuchi yake.
Nna mpenzi wangu ambaye nimedum nae kwa mda wa miaka mitano hadi sasa,na malengo yangu ilikuwa nimuoe mwakani kama mungu angependa.na nakiri kuwa tunapendana sana,sasa kisa chenyewe ni hv.Mimi huwa siingii Facebook Mara kwa mara kutokana na ujinga ambao upo kule muda mwingi hutumia huku na great thinkers wenzangu.sasa cha ajabu Jana nimeingia Facebook nakuta kaweka picha ya lijamaaa bila aibu.halafu kaandika.I........so much.kiukweli nilipagawa sana ila badae nikamuuliza akaniambia yule ni kaka ake.nikamuuliza vipi kuhusu maneno aliyoandika,akasema kumpenda MTU sio lazima kimapenzi.nikasema sawa.sasa nimeamua kumtumia kama Malaya wengine tu huku nikitafuta mke ila bila yeye kujua.na siku atashangaa natangaza ndoa tu.wanawake msioolewa jichunguzeni inawezekana mnakosea vitu vidogodogo kama vya huyu ndizi mshale.halafu anafanya haya yote bora angekuwa anachura useme unaweza ikamsaidia mim kurudisha mawazo nyuma.ha ndizi mshale tena.narudia ntaendelea tu kutumia tu papuchi yake.
[emoji56] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..unamtafutia sababu tu. Sema umemchoka.Hata akiwa kaka yake.unaanzaje kumuweka kaka ako halafu mpenzi wako hujawah muweka.
kwa style hiyo, hutaoa, hata ukioa utaacha tuu.......Nna mpenzi wangu ambaye nimedum nae kwa mda wa miaka mitano hadi sasa,na malengo yangu ilikuwa nimuoe mwakani kama mungu angependa.na nakiri kuwa tunapendana sana,sasa kisa chenyewe ni hv.Mimi huwa siingii Facebook Mara kwa mara kutokana na ujinga ambao upo kule muda mwingi hutumia huku na great thinkers wenzangu.sasa cha ajabu Jana nimeingia Facebook nakuta kaweka picha ya lijamaaa bila aibu.halafu kaandika.I........so much.kiukweli nilipagawa sana ila badae nikamuuliza akaniambia yule ni kaka ake.nikamuuliza vipi kuhusu maneno aliyoandika,akasema kumpenda MTU sio lazima kimapenzi.nikasema sawa.sasa nimeamua kumtumia kama Malaya wengine tu huku nikitafuta mke ila bila yeye kujua.na siku atashangaa natangaza ndoa tu.wanawake msioolewa jichunguzeni inawezekana mnakosea vitu vidogodogo kama vya huyu ndizi mshale.halafu anafanya haya yote bora angekuwa anachura useme unaweza ikamsaidia mim kurudisha mawazo nyuma.ha ndizi mshale tena.narudia ntaendelea tu kutumia tu papuchi yake.
"M/ke ni kama unga wa ngano, unga wa ngano unaponunuliwa huwezi juwa utapikwa maandazi, mikate, donats, au bofro".Nna mpenzi wangu ambaye nimedum nae kwa mda wa miaka mitano hadi sasa,na malengo yangu ilikuwa nimuoe mwakani kama mungu angependa.na nakiri kuwa tunapendana sana,sasa kisa chenyewe ni hv.Mimi huwa siingii Facebook Mara kwa mara kutokana na ujinga ambao upo kule muda mwingi hutumia huku na great thinkers wenzangu.sasa cha ajabu Jana nimeingia Facebook nakuta kaweka picha ya lijamaaa bila aibu.halafu kaandika.I........so much.kiukweli nilipagawa sana ila badae nikamuuliza akaniambia yule ni kaka ake.nikamuuliza vipi kuhusu maneno aliyoandika,akasema kumpenda MTU sio lazima kimapenzi.nikasema sawa.sasa nimeamua kumtumia kama Malaya wengine tu huku nikitafuta mke ila bila yeye kujua.na siku atashangaa natangaza ndoa tu.wanawake msioolewa jichunguzeni inawezekana mnakosea vitu vidogodogo kama vya huyu ndizi mshale.halafu anafanya haya yote bora angekuwa anachura useme unaweza ikamsaidia mim kurudisha mawazo nyuma.ha ndizi mshale tena.narudia ntaendelea tu kutumia tu papuchi yake.
Hata huyo mke unayetafuta labda umtoe sayari nyingine. Kifupi kwa ulichoandika hujafikia wakati wa kuoa bado, labda kama unaoa kama fashion.Nna mpenzi wangu ambaye nimedum nae kwa mda wa miaka mitano hadi sasa,na malengo yangu ilikuwa nimuoe mwakani kama mungu angependa.na nakiri kuwa tunapendana sana,sasa kisa chenyewe ni hv.Mimi huwa siingii Facebook Mara kwa mara kutokana na ujinga ambao upo kule muda mwingi hutumia huku na great thinkers wenzangu.sasa cha ajabu Jana nimeingia Facebook nakuta kaweka picha ya lijamaaa bila aibu.halafu kaandika.I........so much.kiukweli nilipagawa sana ila badae nikamuuliza akaniambia yule ni kaka ake.nikamuuliza vipi kuhusu maneno aliyoandika,akasema kumpenda MTU sio lazima kimapenzi.nikasema sawa.sasa nimeamua kumtumia kama Malaya wengine tu huku nikitafuta mke ila bila yeye kujua.na siku atashangaa natangaza ndoa tu.wanawake msioolewa jichunguzeni inawezekana mnakosea vitu vidogodogo kama vya huyu ndizi mshale.halafu anafanya haya yote bora angekuwa anachura useme unaweza ikamsaidia mim kurudisha mawazo nyuma.ha ndizi mshale tena.narudia ntaendelea tu kutumia tu papuchi yake.