Kuanzia Leo naanza kupiga kama Malaya wengine tu

Kuanzia Leo naanza kupiga kama Malaya wengine tu

duh ndugu yangu wewe ni mweupe sana katika dini ina maana unaposikia watu wanavunja amri ya sita ulikuwa unajua wanauana ha ha ha

Nipe rejea aka reference! Usikurupuke nimetoa zangu hapo juu, toa na wewe zako umepatia wapi.
USIZINI NI AMRI YA 7
 
Nna mpenzi wangu ambaye nimedum nae kwa mda wa miaka mitano hadi sasa,na malengo yangu ilikuwa nimuoe mwakani kama mungu angependa.na nakiri kuwa tunapendana sana,sasa kisa chenyewe ni hv.Mimi huwa siingii Facebook Mara kwa mara kutokana na ujinga ambao upo kule muda mwingi hutumia huku na great thinkers wenzangu.sasa cha ajabu Jana nimeingia Facebook nakuta kaweka picha ya lijamaaa bila aibu.halafu kaandika.I........so much.kiukweli nilipagawa sana ila badae nikamuuliza akaniambia yule ni kaka ake.nikamuuliza vipi kuhusu maneno aliyoandika,akasema kumpenda MTU sio lazima kimapenzi.nikasema sawa.sasa nimeamua kumtumia kama Malaya wengine tu huku nikitafuta mke ila bila yeye kujua.na siku atashangaa natangaza ndoa tu.wanawake msioolewa jichunguzeni inawezekana mnakosea vitu vidogodogo kama vya huyu ndizi mshale.halafu anafanya haya yote bora angekuwa anachura useme unaweza ikamsaidia mim kurudisha mawazo nyuma.ha ndizi mshale tena.narudia ntaendelea tu kutumia tu papuchi yake.


Demu wako unatakiwa umuheshimu ila kitandani umpige kisawasawa kama malaya, wewe ulikuwa unagusagusa ndio maana.
 
God forbid!
Kama wewe unagegeda dada zako sio wote wenye kuendekeza vitendo vya laana!
Aliyekwambia ni laana bani fuatilia mwanzo ilikuaje hadi wewe ukatokea... Baazi ya koo no baraka... Na laana asiri yake uchawi yan kurogana
 
[emoji1] [emoji13] [emoji13] sasa huyo mshale ya kichaga tu ndugu yangu ukikutana na ndizi bukoba za kihaya itakuwaje
Sema ulikosea kukaa naye miaka 5 bila kufunga ndoa naye alikuwa mguu ndani mguu nje
 
Nipe rejea aka reference! Usikurupuke nimetoa zangu hapo juu, toa na wewe zako umepatia wapi.
USIZINI NI AMRI YA 7
kwa walutheri, RC na moraviani ni AMRI YA SITA na madhehebu yaliyobaki yana mipangilio yake ya amri kwa utaratibu wake
 
Utakuwa na minyoo ya kinyarwanda yani umemtumia miaka 5 hata uoni haya,amengoja ndoa miaka yote chenga alaf bila kuchunguza kama kwel kaka yake mda huna,Unawafaham ndugu zake mabinamu watoto wa mama mkubwa na wadogo unawafahamu?
 
Wanaume mpaka leo huwa hatuwaelewei wanawake tuendelee tu kuishi nao hivyo hivyo na mapungufu yao
 
ahhaahha jaman eti chura !dah maflat screen tunayo kazi !serikali itupe frustuations na nyie pia??? dah
[emoji23]
Hawafugiki hawa,hata ufungashie kama furushi la viazi vitamu wanakugeuza punching bag tu.
 
kwa walutheri, RC na moraviani ni AMRI YA SITA na madhehebu yaliyobaki yana mipangilio yake ya amri kwa utaratibu wake

Katiba ya Mungu ni moja tu, tufate hiyo wote. Mafunzo ya kila kanisa/dhehebu yanatupotosha, kwa nini iwe ya 7 kwa wengine iwe ya 6? Rejea zao ni zipi au wana bible tofauti?
 
Back
Top Bottom