Not everything you see is the way it is.Utoto raha.
Mkuu, uhusiano wa miaka mitano halafu hujui kaka zake tena ukiwa umepanga kumuoa?? Wewe ndio wa kulaumiwa bossNna mpenzi wangu ambaye nimedum nae kwa mda wa miaka mitano hadi sasa,na malengo yangu ilikuwa nimuoe mwakani kama mungu angependa.na nakiri kuwa tunapendana sana,sasa kisa chenyewe ni hv.Mimi huwa siingii Facebook Mara kwa mara kutokana na ujinga ambao upo kule muda mwingi hutumia huku na great thinkers wenzangu.sasa cha ajabu Jana nimeingia Facebook nakuta kaweka picha ya lijamaaa bila aibu.halafu kaandika.I........so much.kiukweli nilipagawa sana ila badae nikamuuliza akaniambia yule ni kaka ake.nikamuuliza vipi kuhusu maneno aliyoandika,akasema kumpenda MTU sio lazima kimapenzi.nikasema sawa.sasa nimeamua kumtumia kama Malaya wengine tu huku nikitafuta mke ila bila yeye kujua.na siku atashangaa natangaza ndoa tu.wanawake msioolewa jichunguzeni inawezekana mnakosea vitu vidogodogo kama vya huyu ndizi mshale.halafu anafanya haya yote bora angekuwa anachura useme unaweza ikamsaidia mim kurudisha mawazo nyuma.ha ndizi mshale tena.narudia ntaendelea tu kutumia tu papuchi yake.
Nashukuru zama zile tunachaguliwa chura haikua kipaumbele, kipindi hiko ilikua rangi yako tu zama za weusi kujibandika mikorogoahhaahha jaman eti chura !dah maflat screen tunayo kazi !serikali itupe frustuations na nyie pia??? dah
Nashukuru zama zile tunachaguliwa chura haikua kipaumbele, kipindi hiko ilikua rangi yako tu zama za weusi kujibandika mikorogo
Sasa sijui ningechelewa mpaka zama hizi ningekua wapi mie!? Maana wanaume wanataka wote tuwe kina Sanchoka
hhhhhhhhhaaaaaaaaa! makubwa hayaMimi nawapenda sana maflat kwakweli nipe nafasi moyoni mwako MBITIYAZA pls.
Wala sio makubwa mama! Yaani Mimi nikiona ndizi mshale huwa nachoka kabisa kwa sababu ndio ugonjwa wangu! Pls unifadhiri kwa kweli.[emoji1]hhhhhhhhhaaaaaaaaa! makubwa haya
mie sio ndiz mshale mkuuWala sio makubwa mama! Yaani Mimi nikiona ndizi mshale huwa nachoka kabisa kwa sababu ndio ugonjwa wangu! Pls unifadhiri kwa kweli.[emoji1]
Mmmmmh! Kwahiyo na wewe una expansion joint?[emoji1]mie sio ndiz mshale mkuu
ahahaha aisee mie nina expansion joint kimtindoMmmmmh! Kwahiyo na wewe una expansion joint?[emoji1]