Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,615
Mbona kama umepaniki hivi brother,.hebu tulia kwanza tafuta kinywaji bariiiiidii kunywa.
Ulichofanya sio sahihi sasa we we kaoe jini ndo aliyekamilika we mwenyewe hukosi yako na hata Huyo utakaye mpata atakuwa hajakamilika tena unaweza on a bora ya wa sasaNna mpenzi wangu ambaye nimedum nae kwa mda wa miaka mitano hadi sasa,na malengo yangu ilikuwa nimuoe mwakani kama mungu angependa.na nakiri kuwa tunapendana sana,sasa kisa chenyewe ni hv.Mimi huwa siingii Facebook Mara kwa mara kutokana na ujinga ambao upo kule muda mwingi hutumia huku na great thinkers wenzangu.sasa cha ajabu Jana nimeingia Facebook nakuta kaweka picha ya lijamaaa bila aibu.halafu kaandika.I........so much.kiukweli nilipagawa sana ila badae nikamuuliza akaniambia yule ni kaka ake.nikamuuliza vipi kuhusu maneno aliyoandika,akasema kumpenda MTU sio lazima kimapenzi.nikasema sawa.sasa nimeamua kumtumia kama Malaya wengine tu huku nikitafuta mke ila bila yeye kujua.na siku atashangaa natangaza ndoa tu.wanawake msioolewa jichunguzeni inawezekana mnakosea vitu vidogodogo kama vya huyu ndizi mshale.halafu anafanya haya yote bora angekuwa anachura useme unaweza ikamsaidia mim kurudisha mawazo nyuma.ha ndizi mshale tena.narudia ntaendelea tu kutumia tu papuchi yake.
Mimi nawapenda sana maflat kwakweli nipe nafasi moyoni mwako MBITIYAZA pls.ahhaahha jaman eti chura !dah maflat screen tunayo kazi !serikali itupe frustuations na nyie pia??? dah
Usilipe kisasi...(usifanye kosa ulilokusudia) jifunze kupotezea ni bora muachane kwa wema!!Hata akiwa kaka yake.unaanzaje kumuweka kaka ako halafu mpenzi wako hujawah muweka.
Utaelewa siku mwanamke unaetarajia kumuoa amuweke mwanamume mwingine kwenye profile kama hiyo haitoshi amwambie anampenda.halafu akwambie kupenda kuna maana nyingi.saiz huwez elewa mpaka yakukuteNeno "I love you" kwa kiswahili lina maanisha "Ninakupenda" na neno kupenda ni pana kimtazamo.Au Kwa vile baadhi yetu sisi wabongo 98% ni kuwaza ngono tu.
Nyie mnaelewekaHawaeleweki hao.
Kiwango chenu cha lami.Nyie mnaeleweka
Hana lolote, Wanaume ndivyo walivyo, wakishakinai sababu yoyote inayojitokeza anaing'ang'ania.kwa jinsi unavyomponda inaelekea umeumia sana, pole Mkuu!!