Kuanzia Leo naanza kupiga kama Malaya wengine tu

nimejikamatia ndizi mshale wiki hii sasa kinafanya vizuri so far kiasi cha kuhatarisha mahusiano yangu sugu na misambwanda japo kiaina naimiss maana huyu ndizi mshale nachezea chuchu tu makalio sishiki (hayapo)
 
Kiongozi daftari la mafundisho sijatupa
5...Usiue
6...Usizini
7...usiibe
8...usiseme uwongo
9...usitamani mwanamke asiye mke wako
10...usitamani mali ya mwingine

Si kweli
1. Usiwe na Miungu mingine ila mm
2. Usijifanyie sanamu ya kuchonga
3. Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako
4. Ikumbuke siku ya sabato uitakase
5. Waheshimu baba na mama yako ili siku zako zipate kua nyingi
6. Usiue
7. Usizini
8. Usiibe
9. Usimshuhudie jirani yako uongo
10.Usitaman mke wa jirani yako wala mjakazi wake

Kutoka 20:1-17

Hizo zako umetoa kwenye Quran?
 
Punguza wivu mkuu. Ulitaka upendwe peke ako kwani we pesa. Kwa hiyo umeona wivu kwa kaka mtu kupendwa?
 
Nna mpenzi wangu ambaye nimedum nae kwa mda wa miaka mitano hadi sasa,na malengo yangu ilikuwa nimuoe mwakani kama mungu angependa.na nakiri kuwa tunapendana sana,sasa kisa chenyewe ni hv.Mimi huwa siingii Facebook Mara kwa mara kutokana na ujinga ambao upo kule muda mwingi hutumia huku na great thinkers wenzangu.sasa cha ajabu Jana nimeingia Facebook nakuta kaweka picha ya lijamaaa bila aibu.halafu kaandika.I........so much.kiukweli nilipagawa sana ila badae nikamuuliza akaniambia yule ni kaka ake.nikamuuliza vipi kuhusu maneno aliyoandika,akasema kumpenda MTU sio lazima kimapenzi.nikasema sawa.sasa nimeamua kumtumia kama Malaya wengine tu huku nikitafuta mke ila bila yeye kujua.na siku atashangaa natangaza ndoa tu.wanawake msioolewa jichunguzeni inawezekana mnakosea vitu vidogodogo kama vya huyu ndizi mshale.halafu anafanya haya yote bora angekuwa anachura useme unaweza ikamsaidia mim kurudisha mawazo nyuma.ha ndizi mshale tena.narudia ntaendelea tu kutumia tu papuchi yake.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1]tuliza hasira bana mi ni kaka tu ila unachofanya bora uache tu tafuta demu mwingine maana utajikuta kakushika tena unamsamehe, nakushauri piga chini tafuta mwingine huyo tayari kaishakosa vigezo vya ndoa
 
Mkuu inaweza akawa kaka yake kweli... Mimi namuandikaga kaka yangu hivyo!!! Tena naandikaga THE LOVE OF MY LIFE!
Kuna wengine tuna mapenzi na kaka zetu jamani! Hayo maneno hawakuumbiwa wapenzi wa dizaini yenu tu.
 
Hata akiwa kaka yake.unaanzaje kumuweka kaka ako halafu mpenzi wako hujawah muweka.
Acha wivuuu! Sio wote wenye kujifyatua akili na kuwapost wapenzi wao... Kimaadili si sawa sababu hujamuoa na hujamtolea ata posa!!!
 
Nna mpenzi wangu ambaye nimedum nae kwa mda wa miaka mitano hadi sasa,na malengo yangu ilikuwa nimuoe mwakani kama mungu angependa.na nakiri kuwa tunapendana sana,sasa kisa chenyewe ni hv.Mimi huwa siingii Facebook Mara kwa mara kutokana na ujinga ambao upo kule muda mwingi hutumia huku na great thinkers wenzangu.sasa cha ajabu Jana nimeingia Facebook nakuta kaweka picha ya lijamaaa bila aibu.halafu kaandika.I........so much.kiukweli nilipagawa sana ila badae nikamuuliza akaniambia yule ni kaka ake.nikamuuliza vipi kuhusu maneno aliyoandika,akasema kumpenda MTU sio lazima kimapenzi.nikasema sawa.sasa nimeamua kumtumia kama Malaya wengine tu huku nikitafuta mke ila bila yeye kujua.na siku atashangaa natangaza ndoa tu.wanawake msioolewa jichunguzeni inawezekana mnakosea vitu vidogodogo kama vya huyu ndizi mshale.halafu anafanya haya yote bora angekuwa anachura useme unaweza ikamsaidia mim kurudisha mawazo nyuma.ha ndizi mshale tena.narudia ntaendelea tu kutumia tu papuchi yake.
Mkuu ungechunguza kwanza kama kweli wanaundugu au la?
 
mkuu acha ujinga usifanye hivyo chunguza mi sijaona base si tuna wake ila kuna siku anatupia picha ya kipuuzi unamuelimisha anaelewa
 
Mkuu inaweza akawa kaka yake kweli... Mimi namuandikaga kaka yangu hivyo!!! Tena naandikaga THE LOVE OF MY LIFE!
Kuna wengine tuna mapenzi na kaka zetu jamani! Hayo maneno hawakuumbiwa wapenzi wa dizaini yenu tu.
Anakugegeda sio bure
 
Nna mpenzi wangu ambaye nimedum nae kwa mda wa miaka mitano hadi sasa,na malengo yangu ilikuwa nimuoe mwakani kama mungu angependa.na nakiri kuwa tunapendana sana,sasa kisa chenyewe ni hv.Mimi huwa siingii Facebook Mara kwa mara kutokana na ujinga ambao upo kule muda mwingi hutumia huku na great thinkers wenzangu.sasa cha ajabu Jana nimeingia Facebook nakuta kaweka picha ya lijamaaa bila aibu.halafu kaandika.I........so much.kiukweli nilipagawa sana ila badae nikamuuliza akaniambia yule ni kaka ake.nikamuuliza vipi kuhusu maneno aliyoandika,akasema kumpenda MTU sio lazima kimapenzi.nikasema sawa.sasa nimeamua kumtumia kama Malaya wengine tu huku nikitafuta mke ila bila yeye kujua.na siku atashangaa natangaza ndoa tu.wanawake msioolewa jichunguzeni inawezekana mnakosea vitu vidogodogo kama vya huyu ndizi mshale.halafu anafanya haya yote bora angekuwa anachura useme unaweza ikamsaidia mim kurudisha mawazo nyuma.ha ndizi mshale tena.narudia ntaendelea tu kutumia tu papuchi yake.

Completely stupidy ... sioni kosa lake!
 
Back
Top Bottom