Kesi ya Mbowe inaendelea kuumbua watu na hasa jinsi tunavyopata proceedings sahihi na kwa wakati.
Tumeona jinsi maafisa polisi wanavyoumbuka kwenye maswali ya akina Kibatala na wenzake.
Hapo tusisahau kwama tuna hamu kubwa IGP Simon Siro atakapoitw kama Kibatala alivyoomba.
Hii maana yake watu watanunua bando la kutosha siku hiyo kuliko siku zote.
Kama hujui ndiyo maana polisi walifanya kila wawezalo ili watu wasiingie mahakamani na hata wakiingia wasibebe sinu zao..
Hilo likashindikana, hakuna rules zinazozuia watu kuingia na sinu zao. Ushindi.
Baada ya kesi kuanza mitandao ya CCM hawajadili kabisa kesi hii maana ni aibu.
Juzi MATAGA wameanzisha harakati za mkakati zinazosema sifa za kuripoti kedi mitandaoni zisimuendee Martin MM bali zimuendee Boniface Jacob ambaye ndiye yuko mahakamani anaandika kila kitu na kumtumia Martin MM.
Harakati hizi zikashupaliwa na Kigogi2004 na wenzake.
Sasa inawezekana ni kweli Martin hayuko mahakamani na anayeandika ni Boniface. Kimsingi hii haiisaidii sana CCM na serikali kwani kwa cha maana ni kwamba proceedings zinazotumwa twitter ni kweli na jaji hajakataza serikali imeshindwa kutaja kifungu kinachokataza.
Sasa, je serikali na polisi wataendelea kukaa wanatizama tu bila juhudi ya kuzuia proceedins zisirushwe mtandaoni?
Je atakapohojiwa IGP akaumbukiwa maswali, kweli polisi wako tayari twitter tuone aibu hiyo?
Mimi nadhani hawako tayari na watafanya lolote kuzuia. Kinachoweza kufuatia ni kufanya kituko chochote kwa Bonoface Jacob ili asiweze kuandika na kuzituma kokote.
Ama watamzuia getin au watamnynganya simu au chochote na ikibidi ajali ya gari kabla hajafika mahakamani.
Hivyo Bonoface Jacob, ex-mayor wa Ubungo, akae mkao wa tahadhari kwa lolote kukabiliana na hili.
Taarifa ile haikutumwa ili kumchonganisha na Martin MM au kumsifia bali imetumwa ili kumshughulikia kwa njia yoyote ili tukose mfululizo wa kesi kwenye mtandao.
Kila la heri Boniface na wengine