Kuanguka kwa Dr Slaa

Kimbunga hapo nimekupata, uko sahihi kabisa si vizuri fedha za walipa kodi zilizokuwa zinapaswa kufanya shughuli za maendeleo kuzitumia kwenye shughuli za vyama, lakini huyo jamaa yeye hoja yake ilikuwa kwamba wanazitumia vibaya kwa kufanya mikutano na kuonga watu ndo maana nikamjia juu
 
pointlesssssssssssssssssssss................!!!!!!!!!!!!!

pointlesssssssssssssssssssss................!!!!!!!!!!!!!pointlesssssssssssssssssssss................!!!!!!!!!!!!!pointlesssssssssssssssssssss................!!!!!!!!!!!!!pointlesssssssssssssssssssss................!!!!!!!!!!!!!
 

Ndiyo mwisho wa mawazo yako
 
teh teh wengi wenu dhiki ndo zinawasumbua msiilaumu ccm walaumuni wazazi wenu ndo walikuwa wazembe kutokuwa na elimu ndo mana mpo hapo saivi mnabwabwaja mkiamini padri may be atawakumbuka kwenye ufalme wake
MUNGU na akulaani, ulaaniwe!
 
It does not matter whether he is on or off camera, the man is causing enough chaos ndani ya ccm. Na kwa jinsi walivoishiwa akili hawa CCM wanafikiri kutokuonekana kwake Dr Slaa kwenye 'camera' basi kapoteza umaarufu. how wrong can you be?
 
A lose Dk Slaa, leo nimemuona kwenye TV anaongea na wanafunzi wa vyuo yaani yupo mkiwa sana! dhambi ya pesa za wananchi (Ruzuku) kufanya maandamano kisha wanagawana posho, naona inamtafuna na bado mpaka kieleweke
Naona mtoto wa masaki unawaza kwa kutumia makamasi badala ya ubongo,kijana wa NAPE vipi MKWEREE wenu mbona hashukuru wananchi kwa kumpa kura kama DR SLAA anavyofanya?kila siku safari hazimwishi za kwenda ULAYA huko ndiyo watanzania wapo,au anaenda kuwashukuru walivyomsaidia kuchakachua matokeo ya urais,KIKWETE KWENYE MABANGO,DR SLAA MIOYONI MWETU.
 
Wapiga kura wengi wa 2015 sasa hv wapo vyuoni ukizingatia wakimaliza chuo au wakiwa likizo wanasambaza sumu mtaani na vijijini' acha Dkt aongee nao kwani anawafundisha namna ya kuipeleka CDM kwa wananchi.
 
Na yule kiongozi wenu wa chama cha magamba aliyewahi kuitwa "mkombozi wa Watanzania" "Chaguo la Mungu" akaingia kwa gia kubwa ya "ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya" huwa anavumia wapi siku hizi? kwenye mabembea ya Ikulu!?
Na huo msemo ndo umetabiri anguko lao;Ari mpya, A,Nguvu mpya, Ngu,Kasi mpya, Ka.Ukiunganisha initials, Anguka.
 

Jaribu wewe na wenzako kuficha upumbavu wenu .Then mnalia lia JF ni Chadema kumbe mnakuja hamna hoja . Slaa si mtu wa kusema hovyo .Atasema muda muafaka . Yaani Chadema watake posho iondolewe leo tena iwatese ? Kweli wewe akili zako zinakutosha mwenyewe.
 
Upepo unaelekea wapi huu...??
 
Wewe unakanyagwa,watu tunalia mgao masaa24 wewe unareta utani Humu? Nenda kamwambie NEPI amshauri ngeleja ajivue gamba.mji mzima giza we unaanza reta mambo ya Kum Dis dr? Narudia tena mtoa thread unakanyagwa.
 
Msalala kwa Maige ni kijijini sana na Wanakijiji wameamka sembuse wewe?
 

Nionacho mimi ni mfumo wa CHADEMA katika utendaji kazi, mfano mzuri humu ndani JF utamkuta REGIA,ZITO,LISU nawengineo wakiwakilisha mawazo yao na wakati mwingine kujibu hoja zinatolewa na wapuuzi kama wewe, kama huamini mlete naibu katibu wa CCM humu ndani uone kama anaweza kujieleza kwa wanaJF. Kumbuka maandamono ni sehemu ya kazi ya kuhamasisha wanachama na yeye ni katibu wa hicho chama,,,, Mwambie katibu wako naye aitishe maandamano uone.... thubutu!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…