Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,080
teh teh hali tete? Zamani mlikuwa mnakutana wote mnauwezo mdogo wa kufikiri mawazo yenu yalikuwa sawa. Akiandika thread mtu wote mnaunga mkono.Jamani niliweka Thread yangu humu ya kutoa angalizo kwa hawa watu kuwa ni wakuangalia wengi waliipuzia, utagundua thread nyingi za kipuuzi humu ni hawa new members wa kutumwa humu ! hivi hawa kizazi chao kijacho nacho nadhani kitaendelea kuwa watumwa, kama wazazi watarajiwa wenyewe ndo hao ni taabu tupu
hao unaowalea wote ni wanadhiki naona mzigo wa kulea unakulemea ndo mana unahisi cdm wakichukua nchi padri labda atakusaidia kulea baadhi
Vyuo vya kataTunajua mnaumia sana kuona CDM inafanya vizuri vyuoni.
1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo
2. Sasa anategemea maandamano tu sasa ili ajijenge kisiasa
hali yake tete mpaka anaandaa mikutano vichochoroni na vyuoni ili apate posho
3.hata thread za kumuhusu yeye nw hazina mvuto kama zamani wachangiaji wachache sana.
Upeo mdogo hata mtoto wa chekechea anakuzidi, pesa za wanachi ? wakati ile inaitwa Ruzuku ya chama, we ndo bure kabisa, inabidi itumiwe kwa shughuli za chama
Unajua hizo pesa za Ruzuku zinapotoka? Au unaropoka tuUpeo mdogo hata mtoto wa chekechea anakuzidi, pesa za wanachi ? wakati ile inaitwa Ruzuku ya chama, we ndo bure kabisa, inabidi itumiwe kwa shughuli za chama
Vyuo vya kata
pointless,magamba time is almost over with this kind of life in darkness hata tusio na chama tutachagua yeyote anayefaa hata kama sio slaa lakini ccm rip 20151.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo 2. Sasa anategemea maandamano tu sasa ili ajijenge kisiasahali yake tete mpaka anaandaa mikutano vichochoroni na vyuoni ili apate posho3.hata thread za kumuhusu yeye nw hazina mvuto kama zamani wachangiaji wachache sana.
Vyuo vya kata
Astaghafululah!. Kumbe YUDOMU ni chuo cha kataVyuo vya kata
Kimbunga,Nashukuru kwa Cognition zako! Umemsaidia huyu CDM-Kata Ruzuku ni niniNimesoma post zote za thread hii sikupenda kuchangia ila nilipofika hapa nikashindwa kujizuia!! Hivi wewe na huyo jamaa nani ana upeo mdogo? Ruzuku za chama ni pesa za nani? Hujui kama ni za walipa kodi ambao ni wananchi? Tafakari na uamue nani ana upeo mdogo. Matusi bila hoja ni uchafu.
Nimesoma post zote za thread hii sikupenda kuchangia ila nilipofika hapa nikashindwa kujizuia!! Hivi wewe na huyo jamaa nani ana upeo mdogo? Ruzuku za chama ni pesa za nani? Hujui kama ni za walipa kodi ambao ni wananchi? Tafakari na uamue nani ana upeo mdogo. Matusi bila hoja ni uchafu.
Kimbunga,Nashukuru kwa Cognition zako! Umemsaidia huyu CDM-Kata Ruzuku ni nini
Hapo sasa na wewe ukutulia kuisoma hiyo, pesa zimetoka kwa wananchi ndiyo hakuna asiyejua ni za walipa kodi, serikali imekusanya imegawanya ruzuku kwa vyama wazitumie kwa ajili za kuimarisha chama , hizo ni fedha za chama kwa matumizi ya chama , anaposema zinatumiwa vibaya kivipi ? sija kurupuka mkuu. hivi wewe unafikiri ametumia akili hapo . fedha inafanya shughuli ya kuimarisha chama anasema inachezewa ! narudia tena huyo ni bure kabisa bora mtoto wa "chekechea"
hizi dhiki zimesababishwa na mizigo ya ccm. wewe ni miongoni mafisadi ambao hawajui dhiki hizi zinasababishwa na nani. kifikra hujakombokateh teh wengi wenu dhiki ndo zinawasumbua msiilaumu ccm walaumuni wazazi wenu ndo walikuwa wazembe kutokuwa na elimu ndo mana mpo hapo saivi mnabwabwaja mkiamini padri may be atawakumbuka kwenye ufalme wake
A lose dr. Slaa?is this correct english?porojo na wewe havitofautiani.A lose Dk Slaa, leo nimemuona kwenye TV anaongea na wanafunzi wa vyuo yaani yupo mkiwa sana! dhambi ya pesa za wananchi (Ruzuku) kufanya maandamano kisha wanagawana posho, naona inamtafuna na bado mpaka kieleweke