Ahsante mkuu,lakin mbona kuna walioajiriwa na wanaishi maisha makubwa tu.Na vip kuhusu kila mtu akijiajir itakuaje? Na inshu ya mtaji ikoje kwa upande wako?Kujiajiri ndiyo mpango mzima kwa kipindi maana itakufanya kuwa huru yani "financial freedom " mbali na kuwa huru kifedha pia kujiajiri kunakusadia kufanya kazi katika mawanda na weledi unaoutaka n.k
Hivyo basi katika karne hii bora ujiajiri kuliko kuajiriwa ila kwa wale wanaotaka sifa waonekane wanakaa kwenye viti vya kuzunguka tafuta ajira ila aliejiajiri anapata mkwanja mrefu sana.
Kama mazingira ya kujiajiri yako kirafiki basi kujiajiri kutakuwa kuzuri zaidi. Kujiajiri kunapokuwa kugumu kutokana na kukosa mazingira rafiki, mtaji, exposure, business management skills na mengineyo basi unajikuta ukiendelea kuajiriwa.
Lakini pia tupo wengine ambao kwa sababu mbalimbali tumejikuta tunalazimika kuendelea kuajiriwa na wakati huo huo tukiajiri wengine. Ikitokea umepelekeshwa ofisini na mwajiri wako nawe ukirudi kwenye biashara zako kupunguza stress hasira zako unazihamishia kwa waajiriwa wako na hivyo maisha yanaendelea kusonga. Siku ikifika tutajiajiri jumla.
mbona nimeshasema kuwa kama ukiwezaKivip mkuu,na vip pesa ya mtaji wa kujiajiri inatoka wapi?
Kipi kinakukwamisha hasa na kujikuta umebaki mwajiriwa.Kama mazingira ya kujiajiri yako kirafiki basi kujiajiri kutakuwa kuzuri zaidi. Kujiajiri kunapokuwa kugumu kutokana na kukosa mazingira rafiki, mtaji, exposure, business management skills na mengineyo basi unajikuta ukiendelea kuajiriwa.
Lakini pia tupo wengine ambao kwa sababu mbalimbali tumejikuta tunalazimika kuendelea kuajiriwa na wakati huo huo tukiajiri wengine. Ikitokea umepelekeshwa ofisini na mwajiri wako nawe ukirudi kwenye biashara zako kupunguza stress hasira zako unazihamishia kwa waajiriwa wako na hivyo maisha yanaendelea kusonga. Siku ikifika tutajiajiri jumla.
Safi sana,lakin vipi hii tumbua tumbua ya siku hizi? Huoni kama job security imepungua sana?Wengine kuajiriwa kutamu hawataki hata kuacha kazi .kama unalala bure , kula Bure ,security free na unapata tips na mshahara mkubwa ,huwezi kuacha kazi bhana ,
Ajira tamu chache sana.. Nyingi ajira uchwara tu za kukufanya uishi kwa stress!!Wengine kuajiriwa kutamu hawataki hata kuacha kazi .kama unalala bure , kula Bure ,security free na unapata tips na mshahara mkubwa ,huwezi kuacha kazi bhana ,
Kama nilivyoeleza mkuu kama hali ikiruhusu ipo siku nitajikuta nakuwa fully self employed. Muda wa kusimamia kazi zangu napata kutokana na aina ya biashara ninazofanya, watu niliowaweka na pia management systems nilizoweka katika kila biashara husika.Kipi kinakukwamisha hasa na kujikuta umebaki mwajiriwa.
Na je unapata muda wa kutosha kusimamia kazi yako ya kujiajiri baada ya kutoka kwa mwajiri? Vip ufanis wa kufanya kazi mbili kwa pamoja?