Nani, huyu mdebwedo wa Zanzibar? Kama ni yeye hata huwa hanipi........... hotuba yake inakosa moral authority ingawa huko ndani kidogo kuna point. Hajawahi kunivutia kumsikiliza!!!!!!Huyu mbona anaongea kama teja?
Wakuu naona choo kimeingia na CD yake ya CHADEMA
Kama ametaka kulia vile....daaah
Wakuu naona choo kimeingia na CD yake ya CHADEMA
Anasema waliomuua, wameua mtu asiye na Hatia.msajili wa vyama jaji Francis anaongea neno
Msajili wa vyama vya siasa anasema,kunyesha kwa mvua wakati wa kumuaga dr.Mvungi ni ishara kuwa hao waliomwua,walimuua mtu ambae hana hatia!
Ujumbe wa padri Kabla ya kulala hakikisha umelala baada ya kutubu makosa(dhambi) kwa Mungu kqma kuna mtu kakuudhi/kakukosea msamehe nawe kama umemkosea omba akusamehe ili ulale na Amani yaeezekana ukawa ni mlalo wako wa mwisho hapa duniani
Ndio maana CCM wamemuua kwasababu wao ndio wanaopinga serikali TatuAKITOA SALAMU kutoka ub university of bagamoyo amesema DK MVUNGI NI SHUJAA YEYE NDIO AALIPIGANIA UWEPO SERIKALI TATU
SOURCE ITV NEWS