Kuagwa kwa Marehemu Dk. Mvungi - ITV

Kuagwa kwa Marehemu Dk. Mvungi - ITV

Uhai wa mwanadamu hauwezi kununuliwa kwa garama yeyote- Mbatia
 
Tumempoteza Eliuter, profesa Mwakusi, dk Sengodo, taifa liko pabaya.
 
Waambie Mbatia, binadamu wote ni sawa.. Kwa nini wamemuua... Ni hawa hawa cc..
 
Tukishampumzisha Dr. E.S.A. Mvungi kwa nguvu hiyohiyo tuitumie kulinda uhai wa wananchi wetu. Mh.Mbatia.
 
Hadi tupate Katiba mpya tutawapoteza makamanda wengi --- lala pema peponi KAMANDA!!! sisi tuliobakia mapambano bado yanaendelea - No Retreat, No Surrender - Tanganyika itarudi tu.
 
Mvungi atakumbukwa kwa katiba mpya. Yafaa tumuenzi kwa mambo yafuatayo
1.0 Waziri kutokuwa mbunge,
2.0 Viti maalumu kutokuwepo,
3.0 Kupunguza baraza la mawaziri
4.0 Viongozi wote waliwahi kushika nafasi basi wasiishi nje ya nchi baada ya ukomo wa uongozi wao
5.0 Serikali ihakikishe katika kila rasilimali ya ardhi basi inamiliki japo 20% ikiwemo gesi na madini.
 
Ninyi watu wa SSCN Kahama aka wachina turekebishieni sauti ITV hatusikii,sauti haitoki

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mimi najiuliza kwanini hatuzuii mauaji kama haya badala yake tunafurahia kuhudhulia mazishi? R.I.P mpambanaji Dr. Mvungi.
 
Hivi mkutano alioenda Jk ulikuwa na umuhimu kuliko kumzika mjumbe wa tume!! Ni swali tu.
 
Mbatia kaipa serikali vidonge vyake juu ya maisha ya watu wasio na hatia yanayopotea kila kukicha. R.I.P dr.Sengondo Mvungi.
 
Nawaona akina kova na pinda kwa mbaaali kidogo wakishindana shindano la uhandsome
 
Wasira anapiga miayo tu, nadhani ataka kusinzia kama kawaida yake
 
Eliuter aliuliwa, profesa mwakusi aliuliwa, dk Mvungi ameuliwa! Hawa wote ni WAKRISTO. Dk Ulimboka aliteswa, Absalom aliteswa, Mwangosi aliuliwa. Hawa wote na wengine niliowasahau wamefanyiwa hayo na nchi! WAKRISTO HAWA WAMEKOSA NINI? Je ni kwa sababu ya kuwa watetezi wa wanyonge?
 
Back
Top Bottom