Kamanda Kova naye yumo, amevaa kiraia, kweli Mvungi alikuwa mtu wa watu
uwepo wa kova ni lazima maana hapo wako wakubwa zake wengi.
Kamanda Kova naye yumo, amevaa kiraia, kweli Mvungi alikuwa mtu wa watu
Monsignor Mbiku anatoa ujumbe mzito mzito sana hapa kuhusu kifo na wajibu wetu wa kujiandaa kabla ya kifo.
lala salama mvungi. utakumbukwa kwa mengi mazuri uliyoyafanya kwa taifa hili.
mama anna mkapa anazid kuwa mbaya
kova kanuna huyo..
Mbona mbowe simuoni????
Mbona mbowe simuoni????