Kuagwa kwa Marehemu Dk. Mvungi - ITV

Kuagwa kwa Marehemu Dk. Mvungi - ITV

ITV online ina shida gani?... inasikika tu sauti but hamna picha. Eatv nayo
 
Nimemuona kamanda Mbowe, amesima anasikitika, yani nihuzuni kubwa.
 
Mvua imeongezeka, Mh. Pinda anahuzunika, sura ameikunja hiyo yani huwezi mtazama mara mbili. Ni huzuni kubwa
 
Naona kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa. Sasa wanatakiana amani kwa kufanya tendo la kushikana mikono. yani shuhuli imependeza sana japo inahuzunisha.
 
Naona kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa. Sasa wanatakiana amani kwa kufanya tendo la kushikana mikono. yani shuhuli imependeza sana japo inahuzunisha.
Imepangwa ikapangika. Inasisimua kwa kweli.
 
Tusikilize/kusoma Salaam kutoka serikalini... Sorry, anaanza Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mh. Mbatia...
 
Back
Top Bottom