tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,422
Mvua hii inamlilia dk Edmund sengodo mvungi, Mungu amrehem. Hakika hataenda bure.
Ni baraka kutoka kwa Mungu....yote ni ktk kutetea haki za watz
Mvua hii inamlilia dk Edmund sengodo mvungi, Mungu amrehem. Hakika hataenda bure.
Mvua kubwa sana inanyesha...mh Mbatia analia
Duh! alikuwa akiuwa
nyoka kwa kuwakanyaga kwa mguu/miguu. Mkuu sijaelewa hiyo ndo sifa ya marehemu...au una maana nyingine
Kupitia kituo cha Television cha ITV, kazi ya kuagwa kwa gwiji la Sheria na Siasa ndo imeanza muda huu. Tufuatilie...
mama anna mkapa anazid kuwa mbaya
Duh! alikuwa akiuwa
nyoka kwa kuwakanyaga kwa mguu/miguu. Mkuu sijaelewa hiyo ndo sifa ya marehemu...au una maana nyingine
ni ujasiri huo!
Hata Frederick sumaye anali.