Kuadimika kwa bia mkoani Mbeya

Kuadimika kwa bia mkoani Mbeya

Kaka yangu MENEMENE TEKERI NA PERESI hujalalamika au umehama, umesharudi Dar Upanga? Au unakunywa chui? Nasikia biereee zimehadimika pande hizo.
Cc min -me
Mh dada na tarehe hizi nakunywa bia hela naiokotea wapi ? Nipo zangu na master na ulanzi hiyo taarifa nimeisikia kwa boss analalamika kuwa beer hadimu nikaishia kucheka na kusema walau naye aje aonje uchungu wa master mdomoni na kooni .
 
😃 😀 😄 😁 katika wateja ambao hawana mambo mengi walevi mnaongoza. Huwa mlevi akija dukani kwangu hata punguzo mara nyingi haombi. Mbarikiwe sana walevi
Walevi hatuna shida,shida ipo kwenu nyie msiokunywa
FB_IMG_17526747779070789.jpg
 
Mh dada na tarehe hizi nakunywa bia hela naiokotea wapi ? Nipo zangu na master na ulanzi hiyo taarifa nimeisikia kwa boss analalamika kuwa beer hadimu nikaishia kucheka na kusema walau naye aje aonje uchungu wa master mdomoni na kooni .
Pan master..!! Aisee nakumbuka mbaaaaal sana
 
Back
Top Bottom