Kuachwa kunauma Jamanii usiombe ikikute

Kuachwa kunauma Jamanii usiombe ikikute

Umeniboa kishenzi. Nimekimbilia kusoma nikifikiri umeachwa na Dadii...agrrrrrrrr!

Mi niachwe na chochote kile siumii ili mradi kitu hicho kisihusu papuchi mahaba au ulabu niue... Baaas.

Hebu jaribu kufikiri itakuwaje nikisikia nimeachwa na mahabuba Sky Eclat au nyonga mkalia ini Sakayo au laazizi Grants au sabuni ya roho K Vant

Hebu ngoja kwanza nizimue nipate akili

Hata mi nimekuja mbio mbio nikidhani kuna breaking news: Dadii amuacha Kasie.

Kumbe wapi.
 
Nimekuja mbio mbio nikidhani ntakuta bombshell ya habari kuwa Kasie na Dadii sasa ni kaput!

Kumbe wapi!

Kasie kawaacha watu wananing’inia tu. Hawaelewi kinachoendelea.

Ila kuachwa kunauma. Ndivyo nilivyosikia. Haijawahi kunitokea.
Komredi mi nadhani turudi tena VETA tukamalizie diploma zetu. Mi pia nimeingia mkenge hivyo hivyo.....

Siamini Kasie mahaba anaweza kujuta kuachwa na michuma wallah....

Siku akiachwa na Dadii nadhani ndio siku atajua kuachwa na michuma sio big ishu kiviiile.

Acha nirudi zangu jukwaa la wakubwa nikaangalie kama naweza okoteza maslahi ya weekend.

BTW ushawahi kujumuika na michuchu inayokuwa bize jukwaa la Siasa? Nataka nihamishie juhudi zangu kule
 
Hee jamani kwa nini wasiseme ndege imejaa? Hawakuwa na takwimu rasmi kwamba wanatakiwa wachukue watu wangapi

Sent using Jamii Forums mobile app

Wajanja wajanja, kipindi hicho PrecisionAir alikuwa hajielewi, ana cancel route hovyo.

Kwa hiyo wakipata zile last minutes deals zinakuwa ticket zinabei nzuri sana, wanapokea bila kujali kama ndege iko full. Kwa hiyo mwisho wanafanya huo uhuni.
 
Khaaa jamani mbona walikuwa na mambo ya kihuni hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Komredi mi nadhani turudi tena VETA tukamalizie diploma zetu. Mi pia nimeingia mkenge hivyo hivyo.....

Siamini KasieBTW ushawahi kujumuika na michuchu inayokuwa bize jukwaa la Siasa? Nataka nihamishie juhudi zangu kule

Hebu ngoja niangalie list hapa....ntakupatia mrejesho 😃
 
Mmh yaani umenikumbusha Siku moja nilijuta kwa nini nilibaki kisa nimsindikize huyo MTU. Mpaka Leo najuta coz migogoro yote kama vile ilianzia hapo.

MTU alijua kabisa SAA 00:15 ndege inaondoka, ila huwezi amini SAA 22:20 ndio tunatoka kimara, na folen za dar, tunafika airport SAA 23:30 MTU mwenyewe anaenda mbali almost 14 hrs angani kama sikosei. Dah wanafamilia baadhi wacha wanilaumu kichinichini mm ndio nilomchelewesha, Mungu huyu!! Yaan watu tangu SAA moja jion wakaanza story za vijijini kwao, wanaongea kiluga kiswahili wanafurahi kweli normal stories, wakajisahau na msafiri mwenyewe kajisahau, namtumia SMS jamani muda unaenda hajibu, wanaopika jiokoni utadhani wanampikia mtu anapenda chalinze, hakuamini alichokutana nacho airport hawanaga utani na mchelewaji.

Tangu Siku hiyo nikabebe huo msalaba nikikumbuka yaliyotokea baada ya hiyo Siku nalia. Yaan hiyo week yote ilofata kila Siku ya mungu nilidondosha chozi.
Mungu tu awape maisha marefu wazidi kuona mengi ya dunia.
We mchuchu kuna kitu unatuficha hapa. Maana sijaona popote uliposababisha mtu achelewe na sababu ya wewe kujuta. Au kabla ya safari mlipeana "quickie" kwenye Probox?
 
Mmh yaani umenikumbusha Siku moja nilijuta kwa nini nilibaki kisa nimsindikize huyo MTU. Mpaka Leo najuta coz migogoro yote kama vile ilianzia hapo.

MTU alijua kabisa SAA 00:15 ndege inaondoka, ila huwezi amini SAA 22:20 ndio tunatoka kimara, na folen za dar, tunafika airport SAA 23:30 MTU mwenyewe anaenda mbali almost 14 hrs angani kama sikosei. Dah wanafamilia baadhi wacha wanilaumu kichinichini mm ndio nilomchelewesha, Mungu huyu!! Yaan watu tangu SAA moja jion wakaanza story za vijijini kwao, wanaongea kiluga kiswahili wanafurahi kweli normal stories, wakajisahau na msafiri mwenyewe kajisahau, namtumia SMS jamani muda unaenda hajibu, wanaopika jiokoni utadhani wanampikia mtu anapenda chalinze, hakuamini alichokutana nacho airport hawanaga utani na mchelewaji.

Tangu Siku hiyo nikabebe huo msalaba nikikumbuka yaliyotokea baada ya hiyo Siku nalia. Yaan hiyo week yote ilofata kila Siku ya mungu nilidondosha chozi.
Mungu tu awape maisha marefu wazidi kuona mengi ya dunia.
Pole sana kwa kuonekana wewe ndio kisababishi, ila mngepitia mbezi ile njia unayo enda kutokea kinyerezi mnge wahi.
 
Digrii ya kusoma makala ndefu. Ushasahau makubaliano yetu?? Au kama umesusa nirudi nikaanze upya maana hata sijui hapa "mnadiskashen" kitu gani.... khaa
Hapa tunadiskasi kuhusu kuachwa na maumivu yake
Akaongelea namna Asprin alivyoumia baada ya kuachwa na Sky Eclat
 
Umeniboa kishenzi. Nimekimbilia kusoma nikifikiri umeachwa na Dadii...agrrrrrrrr!

Mi niachwe na chochote kile siumii ili mradi kitu hicho kisihusu papuchi mahaba au ulabu niue... Baaas.

Hebu jaribu kufikiri itakuwaje nikisikia nimeachwa na mahabuba Sky Eclat au nyonga mkalia ini Sakayo au laazizi Grants au sabuni ya roho K Vant

Hebu ngoja kwanza nizimue nipate akili

Aaaahahahahahahaa jamani babuuuu, hivi Big Sam kusema ndo imeshindikana kabisa......!!!

Wee Babu hujawahi kuachwa wewee, kuachwa kunauma aiseeh usiombe hehehehehheeee.
 
Nilishaachwa mpaka Na Mimi.mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Hhahahahahahahaha Miss mamboo, ikifikia mahali pa kujiacha hapo ni shiidaaah.

Nashukuru Mungu sikuwahi kujiacha, ila nami nilishawaacha watu na vitu vingi tuu hehehehee. Kuwaachia watu manyoya halafu unazima njia zote za mawasiliano.... wanayafuta weeh hadi wanakata tamaa.

Akili za Kasie ni Matata.
 
Back
Top Bottom