Take all or share 50 50... sisi ni ndugu tunaweza kuweka mkataba kiroho safi kabisa. Ili mradi usitokee ubeberu na ukabaila kwenye utekelezaji wa mkataba... wallah @Kassie atajengewa ukuta kama wa Mererani kwa mabilionea wa Arusha
Hahahaa...komredi. Kuna novel moja ya James Hadley Chase niliisoma enzi zetu... "You never know with women" kama hujaisoma najua umenielewa hahahaha
Hahaha Mi na Nyani Ngabu tumesoma wote VETA enzi hizo. Yeye alirudia mwaka wakati tunaingia mwaka wa mwisho wa diploma ya welding. Nami nikazuga naumwa ili nimsubiri komredi tugradueti pamoja. Tukabadili field tukachukua setifiketi ya plumbing... tulivyogradueti Ngabu akapata jimama la Kanada akasepa nalo ughaibuni... mi nikaendelea kuchuja nafaka na kifanyakazi cha mama ntilie pale Keko.
Matokeo yake Ngabu kawa mbeba box nami mtimua vumbi. Maisha yanasonga mpk tunajikuta tunataka Dadii akupige chini nasi tupigiane penalti
Yote hayo kwa hisani ya Kasie mahaba matata
Mi sijaisoma hito novel babuu, ina semaje na inamaanisha nini??
You never know what with women..??
Ndo unanipa amsha amsha za kesho eeehhh aahahahahahaaa
Binadamu bwana! Laiti kama usingechelewa na ukachekiwa vizuri hata usingeuona na huo ubovu wa kampuni.Nilishaachwa na ndege sababu ya ubahili na ubishi/ujuaji
Nilikuwa mkoa fulani hivi shule sasa nilikuwa narudi Dar...uo mkoa kutoka hostel ninayokaa hadi airport ni mbali haswaaa na kwasababu baba anaujua umbali wa nilipo na airport akaniambia nichukue tax ili nisisimame simame njiani...ubishi!
Nikajikuta mimi mchumi sana nikasema napanda dala dala ili nisave ela ukicheki tax ni sh 20,000 akati daladala ni sh 900 tu
Kilichonikuta nilifika airport watu washachekiwa na hakukua na namna ya mimi kusaidiwa na ile kampuni mbovu!
Zero brain, foolishHata mi nimekuja mbio mbio nikidhani kuna breaking news: Dadii amuacha Kasie.
Kumbe wapi.
.Kuna watu ni ma pimbimbi
Hawamjui Kasie wala Dadii
Ila kutwa kucha kuchakubimbi
Wako radhi washindie mahindindi
Ili tuu wawasonye Kasie na Dadii
Hawajioni wao ni machakubimbi
.... yoo yoo yoo
Yooh Kasie yooh
Yooh Dadii yoo
It’s a remix with da bits yoo yoo.
Hapana.kumbuka SAA moja jioni tulikuwa nyumbani sasa huo muda hadi SAA 6 usiku si ungetosha kufika airport hata SAA 4kamili? Haijalishi be4 SAA moja tulikuwa wapi, ila tuliwahi kufika home .BTW huwezi elewa babu.We mchuchu kuna kitu unatuficha hapa. Maana sijaona popote uliposababisha mtu achelewe na sababu ya wewe kujuta. Au kabla ya safari mlipeana "quickie" kwenye Probox?
Hiyo miguu kwenye avatar ni yako? Kama ndio basi imekupa nafasi ya kujumuika nami kula pensheni kwa kikokotoo cha zamaniHapana.kumbuka SAA moja jioni tulikuwa nyumbani sasa huo muda hadi SAA 6 usiku si ungetosha kufika airport hata SAA 4kamili? Haijalishi be4 SAA moja tulikuwa wapi, ila tuliwahi kufika home .BTW huwezi elewa babu.
Hujambo lakini? Hivi babu hutaki Mke wa pili wa kula nae pension?😂
Shaachwa na basi, niliumia sana.Aabeeehh.....
Wewe hujawahi kuachwa? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]