Komredi mi nadhani turudi tena VETA tukamalizie diploma zetu. Mi pia nimeingia mkenge hivyo hivyo.....
Siamini Kasie mahaba anaweza kujuta kuachwa na michuma wallah....
Siku akiachwa na Dadii nadhani ndio siku atajua kuachwa na michuma sio big ishu kiviiile.
Acha nirudi zangu jukwaa la wakubwa nikaangalie kama naweza okoteza maslahi ya weekend.
BTW ushawahi kujumuika na michuchu inayokuwa bize jukwaa la Siasa? Nataka nihamishie juhudi zangu kule
Aaahahahahahhaaa wee subiri uzi wa Dadii vs Ngabu, heheheheheheee.
Na wewe unataka niachane na Dadii??!
Sikutakii mabaya wewe bali Dadii...Hhahahahahhaa Babu loooh!!! huachi tuu!!??? na Sky anavyojua kukubana, kama nakuona unavochungulia kama unaonwa unavyoibia na kunyapia nyapia chepuo za weekend heheheheheeee.
Ila Babuu, siku nikiachwa na Dadii utasikitika au itakuwa neema kwako??
Abeeeh, nilikuwa nakoga hahahahahahahhaaa 😀😀😀
Ameshaachwa tena. Sijui safari hii kaachwa na nini wallah
Komredi bhana... najua sana unachotaka...Aisee huo uzi una kila dalili za kuchafua hali ya hewa. Shauri yako na huyo Dadii wako. Mtajibeba na mkianguka msinisumbue.
Oh no. Nyie kama mnashibana basi shikamaneni.
Dunia inahitaji upendo zaidi na upendo huanzia kwa wawili wapendanao.
Msiachane ng’o.
Umepaka Axeee?
Lord have Mercy!Aaahahahahahaa wee Big Sam wewe, dawa yako ni kukuletea tungi / jagi la mixer grant na konyagi (cocktail) @ Rodizo, hilo eneo linabaki hilohilo hadi iwe kweli.
Mi naachwaga sana sema nakalia maumivu navaa tabasamu jipya nandele mbele.
Komredi bhana... najua sana unachotaka...
Ila akiachana na Dadii vita mpya itazuka baina yetu. Mechi baina ya box na vumbi....
Hapo Kasie ndo refarii... naona dalili ya mabox kushinda lakini ushindi utapatikana baada ya vumbi kubwa kutimka. Vumbi linaloweza kusababisha matokeo kubadilishwa na FIFA na Kasie akarudi mavumbini... Big Sam akajikuta kawa Messi wa Bunju
Aaaahahahahahahhaaa halafu jumamosi iliyopita kuna mahali nilienda na rafiki yangu, nikaona Axeee nyeupeee nikaiomba kuiona halafu nikatabasamu nikawarudishia wenye duka. Si rafiki yangu wala mwenye duka walionielewa, maana tabasamu lilikuwa la Mahaba heheheheheee
Kasinde.
Komredi bhana... najua sana unachotaka...
Ila akiachana na Dadii vita mpya itazuka baina yetu. Mechi baina ya box na vumbi....
Hapo Kasie ndo refarii... naona dalili ya mabox kushinda lakini ushindi utapatikana baada ya vumbi kubwa kutimka. Vumbi linaloweza kusababisha matokeo kubadilishwa na FIFA na Kasie akarudi mavumbini... Big Sam akajikuta kawa Messi wa Bunju
Ila mimi nimeelewa. Umri ni mwalimu mzuri kuliko profesa wa kemia ya koroshoAaaahahahahahahhaaa halafu jumamosi iliyopita kuna mahali nilienda na rafiki yangu, nikaona Axeee nyeupeee nikaiomba kuiona halafu nikatabasamu nikawarudishia wenye duka. Si rafiki yangu wala mwenye duka walionielewa, maana tabasamu lilikuwa la Mahaba heheheheheee
Kasinde.
Ila mimi nimeelewa. Umri ni mwalimu mzuri kuliko profesa wa kemia ya korosho
Take all or share 50 50... sisi ni ndugu tunaweza kuweka mkataba kiroho safi kabisa. Ili mradi usitokee ubeberu na ukabaila kwenye utekelezaji wa mkataba... wallah @Kassie atajengewa ukuta kama wa Mererani kwa mabilionea wa ArushaAhahahaaaa.
Huo mpambano utakuwa 🔥
Team Box vs Team Vumbi
Winner take all....
Hahahaa...komredi. Kuna novel moja ya James Hadley Chase niliisoma enzi zetu... "You never know with women" kama hujaisoma najua umenielewa hahahahaHeheee Komredi bana.
Eti Komredi....huyo Dadii ndo nani? We unamjua?
Hahaha Mi na Nyani Ngabu tumesoma wote VETA enzi hizo. Yeye alirudia mwaka wakati tunaingia mwaka wa mwisho wa diploma ya welding. Nami nikazuga naumwa ili nimsubiri komredi tugradueti pamoja. Tukabadili field tukachukua setifiketi ya plumbing... tulivyogradueti Ngabu akapata jimama la Kanada akasepa nalo ughaibuni... mi nikaendelea kuchuja nafaka na kifanyakazi cha mama ntilie pale Keko.Nyani Ngabu na Big Sam Asprin mnanivunja mbavu zangu.
Ngoja kwanza nifunge laptop ntawarudia baadae aahahahahahahahahahahhaaaa
Malabuku zenu wote wawili eeehehehehhehehehehehheheee
Halafu mnajua hivi nyie wawili mmefanana kwa asilimia 80...., sina hakika kama mmeshawahi kuonana nyie wawili ila, mna ufanano wa karibu sana...... shauri zenu heheheheheeeee.
K' Matata.