Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,894
- 82,570
Mimi niliwahi kuachwa na bus bwana natokea zangu Chuga kwenda Daslam. Usiku wake nimekula masanga si nikapitiwa kiaina asubuhi.
Ikabidi niamke chap chap hata kuoga sikuoga, nikaswaki nikanawa uso chap nikachukua Toyo. Nafika tu pale Selian stand naambiwa chuma imeondoka dakika mbili tu hata Mianzini haijafika. Tukatoka pale mwendo wa ngiri kufika Mianzini ndio chuma imeshika rodi kuelekea Sanawari fukuzia na ile toyo kufika Sanawari chuma haisimami ikanyoosha goti.
Asee haya mabasi yanakimbia asikuambie mtu, ukiwa ndani ya basi unaweza ukaona ni mwendo wa kawaida ila ngoma zinapepea mbayaa kabisa.
Yani unaona basi hilo hapo ila kulisogelea ndio kisanga. Nashukuru Mungu Tengeru enzi hiyo palikua na stand ya ndani ndo nikaidakia pale hiyo chuma. La sivyo ilikua ni manyoya maana chaliangu na Toyo yake ilikua inaisha zutu mpaka tungeingia sheli labda tungeweza kuikutia chuma Moshi.