Kuachwa kunauma Jamanii usiombe ikikute

Kuachwa kunauma Jamanii usiombe ikikute

Ilikuwa ni mchezo wao, hasa wakishtukia kwamba ndege imejaa wanapunguza spidi ya kutoa huduma, zikibaki dakika 45 mnaambiwa muda umeisha.

Walikuja wanapelekwa mahakani ndo wakaacha huo ujinga.
Hee jamani kwa nini wasiseme ndege imejaa? Hawakuwa na takwimu rasmi kwamba wanatakiwa wachukue watu wangapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh yaani umenikumbusha Siku moja nilijuta kwa nini nilibaki kisa nimsindikize huyo MTU. Mpaka Leo najuta coz migogoro yote kama vile ilianzia hapo.

MTU alijua kabisa SAA 00:15 ndege inaondoka, ila huwezi amini SAA 22:20 ndio tunatoka kimara, na folen za dar, tunafika airport SAA 23:30 MTU mwenyewe anaenda mbali almost 14 hrs angani kama sikosei. Dah wanafamilia baadhi wacha wanilaumu kichinichini mm ndio nilomchelewesha, Mungu huyu!! Yaan watu tangu SAA moja jion wakaanza story za vijijini kwao, wanaongea kiluga kiswahili wanafurahi kweli normal stories, wakajisahau na msafiri mwenyewe kajisahau, namtumia SMS jamani muda unaenda hajibu, wanaopika jiokoni utadhani wanampikia mtu anapenda chalinze, hakuamini alichokutana nacho airport hawanaga utani na mchelewaji.

Tangu Siku hiyo nikabebe huo msalaba nikikumbuka yaliyotokea baada ya hiyo Siku nalia. Yaan hiyo week yote ilofata kila Siku ya mungu nilidondosha chozi.
Mungu tu awape maisha marefu wazidi kuona mengi ya dunia.
 
Mmh yaani umenikumbusha Siku moja nilijuta kwa nini nilibaki kisa nimsindikize huyo MTU. Mpaka Leo najuta coz migogoro yote kama vile ilianzia hapo.

MTU alijua kabisa SAA 00:15 ndege inaondoka, ila huwezi amini SAA 22:20 ndio tunatoka kimara, na folen za dar, tunafika airport SAA 23:30 MTU mwenyewe anaenda mbali almost 14 hrs angani kama sikosei. Dah wanafamilia baadhi wacha wanilaumu kichinichini mm ndio nilomchelewesha, Mungu huyu!! Yaan watu tangu SAA moja jion wakaanza story za vijijini kwao, wanaongea kiruga hata vingine sielewi, story wakajisahau na msafiri mwenyewe kajisahau, namtumia SMS jamani muda unaenda hajibu, wanaopika jiokoni utadhani wanampikia mtu anapenda chalinze, hakuamini alichokutana nacho airport hawanaga utani na mchelewaji.

Kwani hakusafiri tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kwakweli sijawai kuachwa na usafiri huwa najali sana mda na siku ambayo nasafiri huwa sipati usingizi kabisa lakini huwa nashuhudia mara nyingi asubui watu wanakimbizwa na bodaboda kwa kuchelewa magali morogoro road hii ni hatari mno watanzania tubadilike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka kuna siku nasafiri usiku(safari ya masaa kama 7 angani), safari yenyewe muhimu kweli, mida kama ya saa kumi jioni nikapita kumuaga mchepuko wangu, lengo ilikuwa kumuaga kwa dkk kama 20 hivi halafu nikajiandae. Daah! Nilikutana na drama hizo hadi saa kumi na mbili na nusu bado tunazinguana. Siku ile kidogo nichelewe ndege. Ila nilimpiga chini yule demu, niliona hanifai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh yaani umenikumbusha Siku moja nilijuta kwa nini nilibaki kisa nimsindikize huyo MTU. Mpaka Leo najuta coz migogoro yote kama vile ilianzia hapo.

MTU alijua kabisa SAA 00:15 ndege inaondoka, ila huwezi amini SAA 22:20 ndio tunatoka kimara, na folen za dar, tunafika airport SAA 23:30 MTU mwenyewe anaenda mbali almost 14 hrs angani kama sikosei. Dah wanafamilia baadhi wacha wanilaumu kichinichini mm ndio nilomchelewesha, Mungu huyu!! Yaan watu tangu SAA moja jion wakaanza story za vijijini kwao, wanaongea kiruga hata vingine sielewi, story wakajisahau na msafiri mwenyewe kajisahau, namtumia SMS jamani muda unaenda hajibu, wanaopika jiokoni utadhani wanampikia mtu anapenda chalinze, hakuamini alichokutana nacho airport hawanaga utani na mchelewaji.

Tangu Siku hiyo nikabebe huo msalaba nikikumbuka yaliyotokea baada ya hiyo Siku nalia. Yaan hiyo week yote ilofata kila Siku ya mungu nilidondosha chozi.
Mungu tu awape maisha marefu wazidi kuona mengi ya dunia.
Walikulaumu we ndio umemchelewesha msafiri?

Pole mrembo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kuchelewa mara moja tu tena mwaka jana mwishoni kisa foleni za dar kutoka ubungo mpaka bandarini,mwenyeji wangu kanipa information sivyo safari ikawa ndefu zaidi yaani acha tu Casie,nilipanda wa mwisho kwenye boat nimeingia natweta mkanda mkononi simu ziko kwenye begi acha kabisa. Wa nyuma yangu walibaki maana nilikua the last passenger in the boat [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmh yaani umenikumbusha Siku moja nilijuta kwa nini nilibaki kisa nimsindikize huyo MTU. Mpaka Leo najuta coz migogoro yote kama vile ilianzia hapo.

MTU alijua kabisa SAA 00:15 ndege inaondoka, ila huwezi amini SAA 22:20 ndio tunatoka kimara, na folen za dar, tunafika airport SAA 23:30 MTU mwenyewe anaenda mbali almost 14 hrs angani kama sikosei. Dah wanafamilia baadhi wacha wanilaumu kichinichini mm ndio nilomchelewesha, Mungu huyu!! Yaan watu tangu SAA moja jion wakaanza story za vijijini kwao, wanaongea kiruga hata vingine sielewi, story wakajisahau na msafiri mwenyewe kajisahau, namtumia SMS jamani muda unaenda hajibu, wanaopika jiokoni utadhani wanampikia mtu anapenda chalinze, hakuamini alichokutana nacho airport hawanaga utani na mchelewaji.

Tangu Siku hiyo nikabebe huo msalaba nikikumbuka yaliyotokea baada ya hiyo Siku nalia. Yaan hiyo week yote ilofata kila Siku ya mungu nilidondosha chozi.
Mungu tu awape maisha marefu wazidi kuona mengi ya dunia.
Wanavyoongea kilugha ulikuwa naye huyo jamaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yup tulikuwepo wote ila Yale maongezi yao yalikuwa hayanihusu, walikuwa tu wanajikumbusha mambo ya zamani wanafurahi hata kiswahili walikuwa wanaongea so it was fine with me coz tulikuwemo watu mbali mbali, nilikuwa normal stories
Sasa suala la wee kumchelewesha lilikujaje tena jamani loh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samare unamanisha summary?umenifanya nimeenda google kutafuta maana ya neno samare

Ndio degree ipi iyo mzee?
Digrii ya kusoma makala ndefu. Ushasahau makubaliano yetu?? Au kama umesusa nirudi nikaanze upya maana hata sijui hapa "mnadiskashen" kitu gani.... khaa
 
Wapendwa,

Habari za kutwa nzima na habari za usiku huu. Nyie jamani kama hujawahi kuachwa usitamani hiyo hali ikukute.
Kuachwa kunauma nyie jamani, yaani moyo unauma, akili inajaa mawazo na majuto, kila mtu unamuona mbaya, huoni kuwa wewe mwenyewe ndo sababu kuu ya kuachwa bali waliokuzinguka....

Uso unakuwa na tahayari, umechokaa hooii... tabasamu hakuna, hasira... unaweza jikuta uko mbele za watu wala huoni kama kuna watu, unavua viatu, unakaa chini kabisa sakafuni bila kujali kwamba utachafuka au laah.

Wakati huo akili si yako tena, unawaza gharama ulizoingia, halafu namna utavyoingia gharama nyingine kuendelea mbele....

Naona bado mnakodoa macho hamuelewi au hamuamini mnachosoma. Wacha nitoe mifano mnielewe vizuri.

Hakuna maumivu makali kama kuachwa na ndege. Yaani ticket yako inakuarifu ndege itaondoka saa nne na nusu asubuhi ila utatakiwa kufika airport saa moja na nusu asubuhi (masaa matatu kabla ya ndege kupaa). Na mlango au dirisha la kufanya usajili wa abiria wanaosafiri litafungwa dakika 40 kabla ya ndege kupaa. (Hapa wamekuacha upige mahesabu mwenyewee ni saa ngapi mwisho ku check in) hii inaonesha hesabu haikimbiwi, kama uliikimbia shule utakutana nayo uraiani huku kwenye maisha. Tena unaipiga kwa kichwa hehehehhehe hatari.

Sasa tujiulize, ni kitu gani kinasababisha mtu aachwe..?? Safari unaifahamu tuseme siku tatu kabla, na muda wa kuondoka uko wazi.....

Nishaona sura kadhaa zinakuja zinatweta kashikilia mabegi huku na kule, kutoka check point hata mkanda na viatu hajavaa ticket iko mdomoni halafu counter ya check in ishafungwa na wafanyakazi hawapo washaondoka...... safari inaishia hapo. Huna hata wa kumuomba ubembeleze wakiruhusu uiwahi ndege.Inauma aiseeh maana yalishanikuta. Mara zote ilikuwa ni uzembe tuu kwa upande wangu sikuwa na sababu maalum.
Halafu kinachouma zaidi, ndege inakuwa bado haijaondoka sema ndo taratibu za usafiri wa pipa.

Nishawahi fukuza basi hadi Kibaha nikapanda nikiwa niko restless nilikuwa na landcruiser mkonge la kazini.

Treni enzi zile naenda jeshini nilidandia behewa la mwisho. Boat tuu ndo sijathubutu kulifukuzia 😅😅😅 hehehehheee.

Ila baadae nikaona huu ni uzembe, nilipohamia nchi za watu ambapo muda ni mali, aiseeh siwezi achwa na gari wala ndege wala basi. Hata appointment nafuata muda mnoo. Ikitokea kuna vikwazo natoa taarifa mapema ili nisiwekwe kwenye list ya no show.

Hahahahaha poleni, kuna baadhi yenu mlishaona eenheee Kasie kaachwa na Dadii.... waapi bado tupo tupo sanaa🤪.

Labda tukifikisha miaka 90 ndo tutaachana hehehehehehhe.

Wewe ulishawahi kuachwa!!?? Ulijisikiaje?? Sababu ya kuachwa ni ipi? Baada ya kuachwa ulifanyaje kuendelea au kukamilisha safari?

Kasie Mahaba Matata.
Umeniboa kishenzi. Nimekimbilia kusoma nikifikiri umeachwa na Dadii...agrrrrrrrr!

Mi niachwe na chochote kile siumii ili mradi kitu hicho kisihusu papuchi mahaba au ulabu niue... Baaas.

Hebu jaribu kufikiri itakuwaje nikisikia nimeachwa na mahabuba Sky Eclat au nyonga mkalia ini Sakayo au laazizi Grants au sabuni ya roho K Vant

Hebu ngoja kwanza nizimue nipate akili
 
Babu shikamoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom