Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,582
Nilikuwa na mpenzi kwa muda wamiaka miwili lakini alikua aniambii ukweli.Siku moja nikaamua kumuuliza hivi nini malego yetu akajibu ninamsichana mwingine tena anarudi hivi karibuni kwahiyo tusitishe mahusiano.Naombeni ushauri wana JF
ushetani waujua????
ni nyie kwa aslimia 80 na ishiri ni ni wanawake
kwa hiyo kula mzigo ni sifa kama sifa zingine aiseee...Bonge ya takwimu hiyo ngoja na mie niongezee takwimu, 70% ya wanawake wanaangalia status ya mwanamume kwenye jamii wakati thelathini wanaangalia sifa ya mwanamume bora mwisho wa siku 80% ya wanaume wanakuwa ni watu wa kula mzigo na kuacha (angalia kidume kikipata kazi kinavyokula mzigo ovyo aisee wakati ukiangalia file lake miaka ya nyuma hakuwa hivyo though kuna ambao kula mzigo ni kazi kama kazi zingine tangu primary mpaka uzeeni)
Kwa wengine ni sifa kama zilivyo sifa zingine tena wengine huwa wanafanya mazoezi ya kutongoza wasisahau na wanajikuta wanakubaliwakwa hiyo kula mzigo ni sifa kama sifa zingine aiseee...
Nilikuwa na mpenzi kwa muda wamiaka miwili lakini alikua aniambii ukweli.Siku moja nikaamua kumuuliza hivi nini malego yetu akajibu ninamsichana mwingine tena anarudi hivi karibuni kwahiyo tusitishe mahusiano.Naombeni ushauri wana JF
Kwa wengine ni sifa kama zilivyo sifa zingine tena wengine huwa wanafanya mazoezi ya kutongoza wasisahau na wanajikuta wanakubaliwa
basi huu ni ujinga kama majinga mengine... kujaribu hisia za mwenzio
Ni kweli ujinga ila wakati mwingine anafanya utafiti anakubalikaje kwa warembo au katika wanawake 10 anaowatongoza ni wangapi wanamkubali na kutoa papuchi, ukimshitukia anajifanya alikuwa anakutania tu
Hilo ndio linatakiwa sasa sio unatoa papuchi miaka 2 alafu baadae ndio unauliza "tutaendelea hivi mpaka lini", seriously mahusiano yetu wengi yapo hivi aisee yaani mtu anaimbisha akili yote ipo kwenye papuchi na kweli watu wanagegedana (kibongobongo kugegedana ndio symbol ya mapenzi yenyewe matokeo yake kuna ambao yanaendelea vizuri wapo wengi tu ila kuna wengine pia wanapigana chini nao wapo wengi tu)basi kuanzia sasa nitakuwa ukitongoza nakupima akili
Hilo ndio linatakiwa sasa sio unatoa papuchi miaka 2 alafu baadae ndio unauliza "tutaendelea hivi mpaka lini", seriously mahusiano yetu wengi yapo hivi aisee yaani mtu anaimbisha akili yote ipo kwenye papuchi na kweli watu wanagegedana (kibongobongo kugegedana ndio symbol ya mapenzi yenyewe matokeo yake kuna ambao yanaendelea vizuri wapo wengi tu ila kuna wengine pia wanapigana chini nao wapo wengi tu)
Kwi kwi kwi.......hahahahaha leo najisikia kucheka tu my wii sijui ndio naanza kuugua chekelea?
basi sawa mwanaume akinitongoza ni kutoa nduki
Kumbe reserve inatakiwa, ndio maana ukimtokea mrembo hakujibu kwa ukali anakuwa anakusumbua kumbe ni strategy just in case kama akizingua angalau anakuwa ana marafiki wengine wapya wa kufanya replacementmove on mdada hawa vumbe hawana fadhila utapata mwingine atakuwa bora zaidi ya huyu..mapenzi yapo tu likifa penzi hili huzaliwa lingine...kibuti kinauma km mimi nishapgwa km mara tatu nne hivi lakin akha um happy with my life i dont give a ---- shit about men....life goes on.ila usisahau kuweka reserve next tym mumie
Kumbe reserve inatakiwa, ndio maana ukimtokea mrembo hakujibu kwa ukali anakuwa anakusumbua kumbe ni strategy just in case kama akizingua angalau anakuwa ana marafiki wengine wapya wa kufanya replacement
Kwan uliwasiliana na Mungu ukaambiwa mwanaume ndo huyohuyo.. Acaha uchuro fanya mambo mengine au nipm nitakuhandle