Kuachiwa huru kwa Freeman Mbowe na wenzake hakuna sababu nyingine isipokuwa ushahidi wa Jamhuri kutothibitisha mashitaka

Asingeweza kuimaliza kama syndicate yoteiliyotengeneza kesi hii haijakubaliana kuwa waimalizeje...

Jaji alikuwa sehemu ya evil syndicate hiyo...

Mama Samia obviousily hakuwa anajua hili from the beginning. Ametambua kuwa kaingizwa chaka ikiwa too late....
Mama alingizwa chaka kitambo sana. Parallel state imemchafua sana
 
Ni uongo na unajua kabisa kuwa unadanganya aidha kwa makusudi wa kwa ujinga wa kutojua...

Hakuna sheria inayompa mamlaka Rais kutoa masamaha kwa mtu ambaye hajatiwa hatiani na kuhukumiwa adhabu ya kifungo jela na mahakama

Kina Mbowe shauri lao lilikuwa bado linaendelea mahakamani. Walikuwa hajakutwa na hatia wala kuhukumiwa kifungo jela...!!

Mbowe na wenzake amefutiwa mashitaka kwa sababu aliyekuwa anawashitaki ame - surrender mwenyewe kwa sababu anazozijua mwenyewe...!!
Achana na huyo asiyejielewa.

Mbowe alishasema kwanza hawezi kuonana na Rais akiwa na wasaliti. Pili alisema hawezi kuuza haki kwa mkate wa chai. Tatu alisema kwa kupigania haki hata wamuue haachi. Imethibitika haijathibitika??
 
Achana na huyo asiyejielewa.

Mbowe alishasema kwanza hawezi kuonana na Rais akiwa na wasaliti. Pili alisema hawezi kuuza haki kwa mkate wa chai. Tatu alisema kwa kupigania haki hata wamuue haachi. Imethibitika haijathibitika??
Imethibitika bila shaka...!
 
Kwani huku kwetu Afrika watu wanahitaji ushahidi?
Hawakutaka kumfunga tu ila wangetaka wangelimfunga na isiwe chochote.
Hizo ni trick za ccm kutengeneza tatitzo then wakalitatua ili wapate credit kwa jamii ya kimataifa. Na kwa staily hii ccm itangoza sana tu maana hamna upinzani wa kweli
 
..Zitto alitaka Mbowe amuombe Mama msamaha.

..badala yake Mama ndio amemuomba msamaha Mbowe kwa kumuita Ikulu.
Tena kwa kusafiri usiku toka Dodoma kumfuata Mbowe Dar. Na bado Zero yuko ofisini bila aibu. Anasubiri kutimiliwa kwa aibu.
 
Rais anaomba kukutana na Gaidi Ikulu🐒🐒🐒
022030WA0001.jpg
AgirfQ.jpg
 
Sasa huyo jaji ushahid aliutoa wapi mpaka aseme wajibu huku dpp anaona hakuna ushahidi pale
 
ASIKUDANGANYE MTU, kwa propaganda yoyote kuwa DPP kutangaza kutokuwa na nia ya kuendelea na mashitaka ya tuhuma za ugaidi na uhujumu uchumi dhidi ya M/Kiti wa CHADEMA - Taifa ndugu Freeman A. Mbowe na wenzake eti ni kwa sababu zingine zozote zile bali ilikuwa ni suala la muda tu siku hii ifike...

ASIKUDANGANYE MTU, kuwa ule ugeni wa wanaoitwa "viongozi wa dini" ikulu na kauli ya Zito Kabwe siku chache zilizopita kule Dodoma wakati wa kilichoitwa "mkutano wa Mutungi - Msajili wa vyama vya siasa kwa mwavuli wa TCD" iliyozua tafrani ya kumwombea msamaha zina influence yoyote kwa maamuzi ya DPP leo kuiondoa kesi hii mahakamani....!

Yote na kote huko ilikuwa ni harakati za serikali kutafuta mlango wa kutokea tu ili kuliondoa jambo hilo mahakamani kwa sababu kila mtu aliona kwa macho na kusikia kwa masikio yake kutoka day one kuwa hakukuwa na ushahidi wa kuthibitisha mashitaka hayo...!

ASIKUDANGANYE MTU, kuwa kesi hii ilikuwa ni jinai kweli kwa maana ya jinai. Huu ulikuwa mchezo na mkakati wa kisiasa wa CCM kwa mgongo wa SERIKALI dhidi CHADEMA chama kinachotishia uhai na uwepo wa CCM madarakani...!

Kilichofanyika ni CHADEMA kukutwa wamejiandaa vyema kukabiliana na mkakati huu mwovu wa CCM na serikali yao....

ASIKUDANGANYE MTU bwana, kwa mchezo huu ambao waasisi ni CCM mwenyewe, CHADEMA ni washindi na wamewachapa goli za kutosha CCM na kwa aibu wakawa wametafuta mbinu ya kuumaliza mchezo apema kuepuka kushindiliwa magoli zaidi....!

NARUDIA TENA, ASIKUDANGANYE MTU, kuwa kule kuwaona kina Zitto Kabwe na hawa wanaoitwa "viongozi wa dini" wakiokotezwa na kisha wakatengenezewa mazingira na kukaribishw Ikulu ili wajifanye kumsihi Rais kumsamehe Freeman Mbowe ili hili lililofanyika leo ionekana ni kwa sababu "Rais Samia kawasikia viongozi hao".

USIDANGANYIKE na hayo maigizo. Ni uongo mtupu wa kufuta aibu ya malkia na serikali yake.....!

ASIKUDANGANYE MTU, wote tunaelewa serikali yoyote ikiwemo hii yetu ya JMT chini ya Rais Samia Suluhu [CCM] huwa madarakani kwa mlango wa siasa na hu - mantain uwepo wake madarakani kwa mbinu za kisiasa zozote zile iwe halali ama haramu....

Katika hili la kesi ya Freeman A. Mbowe ilikuwa mbinu haramu na pengine ya kijinga na kipumbavu sana ya serikali hii chini ya CCM kujaribu kuji - maintain lakini bahati wameshindwa spectacularly...!

Kwa kuwa ilikuwa mbinu haramu matokeo yake hata mikakati [strategies] zao zikawa za kijinga na kipumbavu kabisa....

Mathalani, kitendo cha Rais Samia kwenda kufyatuka uongo wa mchana kweupe akihojiwa na kituo cha TV cha BBC Swahili kuwa baadhi ya wahalifu wenzake na Freeman Mbowe walishahukumiwa na kufungwa gerezani ilikuwa uthibitisho wa kwanza wa wanamikakati (strategists) wa CCM kushindwa kabla ya mkakati kufikia hata robo tu....

CHADEMA hongereni. You are the winners. I see the light at the end of the tunnel. Keep on going. Harakati za kudai katiba bora na mpya, demokrasia na haki ziendelee...
Serikali Ina nakala ya uamuzi (ruling) kwamba Mbowe ana kesi ya kujibu na ushahidi ulitosha, Mbowe alijihusisha na ugaidi, na ndio maana akaambiwa ajitetee, ashukuru viongozi wa dini wamemuokoa
 
ASIKUDANYE MTU. Hii ni Kama Kuruka Mkojo halafu Kukanyaga 'Mavi'...ashakum.
Zito Alimuomba Mama Amsamehe Mbowe.

Watu Tukaja juu huku tukimlaumu Zito kwanini Kamuombea Msamaha Mbowe. Ajabu Sasa Ombi Lile lile limetolewa Na Viongozi Wa Dini.

Sasa 'Eti' tunashangilia Kabisa huko 'Haya au Soni' Usoni Zimetutoka. Very Funny!
Mjinga hatambulishwi, hujitambulisha
 
ASIKUDANGANYE MTU, kwa propaganda yoyote kuwa DPP kutangaza kutokuwa na nia ya kuendelea na mashitaka ya tuhuma za ugaidi na uhujumu uchumi dhidi ya M/Kiti wa CHADEMA - Taifa ndugu Freeman A. Mbowe na wenzake eti ni kwa sababu zingine zozote zile bali ilikuwa ni suala la muda tu siku hii ifike.

ASIKUDANGANYE MTU, kuwa ule ugeni wa wanaoitwa "viongozi wa dini" ikulu na kauli ya Zito Kabwe siku chache zilizopita kule Dodoma wakati wa kilichoitwa "mkutano wa Mutungi - Msajili wa vyama vya siasa kwa mwavuli wa TCD" iliyozua tafrani ya kumwombea msamaha zina influence yoyote kwa maamuzi ya DPP leo kuiondoa kesi hii mahakamani.

Yote na kote huko ilikuwa ni harakati za serikali kutafuta mlango wa kutokea tu ili kuliondoa jambo hilo mahakamani kwa sababu kila mtu aliona kwa macho na kusikia kwa masikio yake kutoka day one kuwa hakukuwa na ushahidi wa kuthibitisha mashitaka hayo.

ASIKUDANGANYE MTU, kuwa kesi hii ilikuwa ni jinai kweli kwa maana ya jinai. Huu ulikuwa mchezo na mkakati wa kisiasa wa CCM kwa mgongo wa SERIKALI dhidi CHADEMA chama kinachotishia uhai na uwepo wa CCM madarakani.

Kilichofanyika ni CHADEMA kukutwa wamejiandaa vyema kukabiliana na mkakati huu mwovu wa CCM na serikali yao.

ASIKUDANGANYE MTU bwana, kwa mchezo huu ambao waasisi ni CCM mwenyewe, CHADEMA ni washindi na wamewachapa goli za kutosha CCM na kwa aibu wakawa wametafuta mbinu ya kuumaliza mchezo apema kuepuka kushindiliwa magoli zaidi.

NARUDIA TENA, ASIKUDANGANYE MTU, kuwa kule kuwaona kina Zitto Kabwe na hawa wanaoitwa "viongozi wa dini" wakiokotezwa na kisha wakatengenezewa mazingira na kukaribishw Ikulu ili wajifanye kumsihi Rais kumsamehe Freeman Mbowe ili hili lililofanyika leo ionekana ni kwa sababu "Rais Samia kawasikia viongozi hao".

USIDANGANYIKE na hayo maigizo. Ni uongo mtupu wa kufuta aibu ya malkia na serikali yake.

ASIKUDANGANYE MTU, wote tunaelewa serikali yoyote ikiwemo hii yetu ya JMT chini ya Rais Samia Suluhu [CCM] huwa madarakani kwa mlango wa siasa na hu - mantain uwepo wake madarakani kwa mbinu za kisiasa zozote zile iwe halali ama haramu.

Katika hili la kesi ya Freeman A. Mbowe ilikuwa mbinu haramu na pengine ya kijinga na kipumbavu sana ya serikali hii chini ya CCM kujaribu kuji - maintain lakini bahati wameshindwa spectacularly.

Kwa kuwa ilikuwa mbinu haramu matokeo yake hata mikakati [strategies] zao zikawa za kijinga na kipumbavu kabisa.

Mathalani, kitendo cha Rais Samia kwenda kufyatuka uongo wa mchana kweupe akihojiwa na kituo cha TV cha BBC Swahili kuwa baadhi ya wahalifu wenzake na Freeman Mbowe walishahukumiwa na kufungwa gerezani ilikuwa uthibitisho wa kwanza wa wanamikakati (strategists) wa CCM kushindwa kabla ya mkakati kufikia hata robo tu.

CHADEMA hongereni. You are the winners. I see the light at the end of the tunnel. Keep on going. Harakati za kudai katiba bora na mpya, demokrasia na haki ziendelee.
Ingekua dpp hajathibitisha mashtaka mbowe angekutwa vipi na kesi ya kujibu? Shukuruni mungu tuna rais dhaifu kalanghaiwa na viongozi wa dini. Mbowe angeenda jela tu akapepete mdomo huko jela.
 
Back
Top Bottom