WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
Aaaah wapi hii WOS hakuna kitu kama hicho eti mwanamke ajikite kulea familia na mabuzi ya nje amwachie nani na viserengeti boyz je?weweeeee....
Kwa nini wanawake wanawabambikia wanaume zao watoto?
Kuacha si ni hiari? Kuachwa ndo shughuli!
.......kuachwa ndio shughuli! ha ha aahaaa..
...kuachwa halafu mambo yako kimaisha yakaja kuwa super kuliko awali, ni pigo tosha kwa yule aliyekuacha! Muachaji heshi kujipitisha, kuchungulia, na kuulizia kama angalau kuna kajinafasi mlangoni apate kuingia tena!
Hivi hii ndiyo general rule siku hizi?
Ni kama kusema kuwa wanawake wote wana shida ya hela na hivyo hata wakiolewa bado wanasaka hizo noti kwa mabuzi.Viserengeti boys hivyo nadhani siyo big ishu kiivo kiasi cha kuonwa kama ni tatizo la kila mwanamke.
Kwamba wanaume wanasingiziwa watoto siku hizi kuna kipimo cha DNA - hivyo Fidel wala uskonde wala nini!
FYI kwangu mie kuyacha ni simple kama kwa masa kukandamiza tigo...Mi nilisema hapo nyuma mkisha kuwa katika relationship kuachana moja kwa moja ni ngumu sana....kwa kifupi mnaingia katika uhusiano wa kihawala na hawa iwa hawaachani mpaka sijui iweje.
Lakini unajua mwenyewe kama mlirewind au lah.
FYI kwangu mie kuyacha ni simple kama kwa masa kukandamiza tigo...
....kuna kitoto kilikuwa kitaamu kweri kweri siku moja nikaamka j'mosi nikasema leo nakutema......nilifanikiwa....tangu siku ile its very simple kuacha.....
,.....kuachwa sioni shida na wala siumii
Hamna mapenzi siku hizi...mama na baba zetu ndio walikuwa na mapenzi.....Wewe wasema mkuu! Kama ni hivyo hujawahi penda/pendwa.
Ila kama ni sex partners au one night stand kidogo inaeleweka.
By the way umewahi kupenda?
Hamna mapenzi siku hizi...mama na baba zetu ndio walikuwa na mapenzi.....
.....siku hizi unaangaliwa una nini kama ni mwanaume....kwa mwanamke je unavutia figure kitandani basi.....
......kupenda nianzie kwako....lets meet tell me nije lini NL
Huko nakujua.......sijaomba huko aisee...hata hapa wapo kibao jolly wakali mpaka basi...Umenichekesha sana Yo Yo!..Una utani kupita maelezo
Mimi nimewahi kupenda na kutenda pia kutendwa,wewe unaweza kuongezeka kwenye listi au laaKaribu NL,nitakupeleka Red Light kwenye shughuli pevu..
Ukiacha mwanaume ana nini au mwanamke anavuaje lazima kuna mtu fulani anakuvutia zaidi na unampenda na mkiachana unaumia. Anyway kwavile hujawahi kupenda hutaelewa hili,tuliache!
Huko nakujua.......sijaomba huko aisee...hata hapa wapo kibao jolly wakali mpaka basi...
.....yup nataka white light hapo kwako.....kuwa serious kabla hawajavamia mafisadi hapa
Mie ndio Obama wa kubonyeza dim light.....kwanini tuandikie mate na wino upo..lets enjoy our vacation.....Hapa ni deam light tena utaachwa na kuumia sana halafu uikumbuke hii thread mkuu! Wewe unatania tu hapa,katika umri huo umeshawahi pata kashkash za kwenye mapenzi!
Yeah ndo manake ila nashauri hapa JF hapafai kwa kuinjoy vacation wakija wakina masanilo patakuwa hapatoshi......painkiller na silencer hawachezi mbali...Yo Yo una maana vacation yangu ni-enjoy na wewe? How?
Yeah ndo manake ila nashauri hapa JF hapafai kwa kuinjoy vacation wakija wakina masanilo patakuwa hapatoshi......painkiller na silencer hawachezi mbali...
I fear only God....vipi hujiamini kuionjoy na mie?
Mie sijakufehemu.....KhaaH..Najutaaaa kukufahamu
Walioacha na kuachwa wanalalamika hasa walioachwa ndio wanaoumia zaidi.....hamna kitu murua kama kuwa free so nikiachwa najisikia safiTuache wenye experience za kuacha na kuachwa wachangie mada zao. Jifunze toka kwao maana ipo siku utachanganyikiwa ukipatwa na tukio kama hili!...
Peace..
,.....kuachwa sioni shida na wala siumii
Walioacha na kuachwa wanalalamika hasa walioachwa ndio wanaoumia zaidi.....hamna kitu murua kama kuwa free so nikiachwa najisikia safi
lijamaa limoja liliachwa na demu wake live live demu alikuwa anafagilia mapene jamaa ndio katoka univ demu anataka mashoping ya woolworths msela apeche aroro.....Umeona eeh! Hata wewe ukiachwa utaumia zaidi na kama bado haijakutokea siku ikikutokea utajua vizuri!..