Kuacha mwanamke kisa amekuudhi, utaacha wangapi?

Habari wakuu,

Mimi sikubaliani na kitendo cha kumuacha mwanamke unayempenda kisa kakulet down au kakukwaza kwa namna moja ama nyingine.

Kila mwanamke ana maudhi yake. Kikibwa na kumchagua mmoja ambaye unaweza vumilia madahifu yake. Hakuna mkamilifu hata mmoja.

Ukisema kila anayekukatisha tamaa unamuacha, utajikuta umetongoza dunia.

Nakubaliana na usemi mwanamke kaa naye kwa akili si kwa maguvu na ubabe. Jifanye mjinga siku ipite. Kumbuka Mke ni baraka na heshima ndani ya nyumba. Tukosoane kwa upendo na heshima. Mia
We ni jasiri kweli, ila kuvumilia ujinga ni ujinga pia, we tupa kulee maana wakati ww unazinguliwa ujue kuna jibaba linaliliwa na dem wako,
 
Una uhakika ndo inavyotafsiri? Waislam wamejiwekea misingi mizuri ya ndoa. Haileti migogoro kama unafuata dini.

Mzee naomba usaidie hapa. Mafundisho yanasemaje?

Hakuna jambo linalomchokoza mwenyezi mungu kama Talaka....

Talaka inapaswa kutolewa pale inapobidi.
 
ukiingia kwenye mahusiana ya ndoa utayajua vema majibu ya thired yako..........watu wapole sana wakiwa hawajaoana.....but after marriage......ndo madafu yanaanza kuanguliwa......muombe Mungu wako kwa bidiii sana....fanya maamuzi yaliyo sahihi...sikiliza ndugu na jamaa kwa ushauri....umpate mnae fanana nae......mkuu usiombeee....bangi huvutwa ukishashiba.....
 
Habari wakuu,

Mimi sikubaliani na kitendo cha kumuacha mwanamke unayempenda kisa kakulet down au kakukwaza kwa namna moja ama nyingine.

Kila mwanamke ana maudhi yake. Kikibwa na kumchagua mmoja ambaye unaweza vumilia madahifu yake. Hakuna mkamilifu hata mmoja.

Ukisema kila anayekukatisha tamaa unamuacha, utajikuta umetongoza dunia.

Nakubaliana na usemi mwanamke kaa naye kwa akili si kwa maguvu na ubabe. Jifanye mjinga siku ipite. Kumbuka Mke ni baraka na heshima ndani ya nyumba. Tukosoane kwa upendo na heshima. Mia
Aisee kuna watu wengine tumepitia mikasa MUNGU shahidi,hivi kweli mtu kakusaliti unaendelea nae wa nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom