Kuacha mwanamke kisa amekuudhi, utaacha wangapi?

Kuacha mwanamke kisa amekuudhi, utaacha wangapi?

Una uhakika ndo inavyotafsiri? Waislam wamejiwekea misingi mizuri ya ndoa. Haileti migogoro kama unafuata dini.

Mzee naomba usaidie hapa. Mafundisho yanasemaje?
We Jua Ndo Hvyo... Mbona mchokonozi Sana ww enh...
Haya bac nakupa Talaka 4= Sikutaki ww na ukoo wako na hii thread..
 
Ndio mkuu, sipendi tabia ya kukaa na mtu mwaka halafu unamuacha kisa kakuudhi au kakulet down. Nashauri kama kweli unaona anakufaa mvumilie zaidi ya chochote. Ila nlichogundua.. Kuanza kufanya ngono kabla ya ndoa ndo kinapelekea penzi kuchuza na kumuona mwenzio si chochote si lolote.
Dah... naona bdo unazunguka jamaa kauliza "ww ushawahi kuacha ama kuachwa? ukajibu tofauti kabsaaaaa kwamba "mm cjaoa" jamaa akakwambia mada yko imeongelea kuhusu kuachana tu co lazma kwenye ndoa so jibu swali acha maneno meeengi hujui baada ya kumpa jibu jamaa anataka kuongea nn mnatukosesha uhondo wasomaji!
 
Mwanaume hakinahiwi na mwanamke. Wala mwanaume hajuagi kuacha mwanaume. Unaweza ukaachana na mwanaume kwa maneno mabaya na kashifa lakini mkija kuonana lazima atakuomba mchezo.

Hiyo kusema hakutaki anakuwa anatikisa kiberiti huku moyoni akiomba usiondoke. Ndo maana walio wengi baada ya muda wataanza kuomba msamaha utafikir walikuwa sio wao.

Kuliko kujifanya unamuacha unayempenda kisa wamawake wengine, ni garama na mateso kuliko kijishusha na kumaliza tatizo.

Hii nmeigundua baada ya kukua. Zamani nlikua sijali wala sibabaiki kumuacha mwanamke nikaja kugundua si suruhisho. Ndo sababu ya hii thread. Ndo maana mababu zetu ukiwauliza mumefikaje hapa hawatakujibu tulipendana sana bali watakuambia tumevumiliana sana na kusameheana.
We maliza maneno tu unaweza kugongewa ukavumilia? naona unatiririiiiika hp!
 
Mwanaume yoyote si rahisi kivumilia umalaya. Yaani mwanaume akufamanie akuvumilie yataka moyo ila mambo mengine ni rahisi. Hadi anagawa uchi kwa mtu mwingine huyo sio mpenzi wako bali mpenzi wenu. Anaweza akafanya umkolohee sumu afe. Ikifika hapo pa kumpanulia miguu mwanaume mwingine, atakayetoa ushauri ni Mungu na Malaika zake. Si kwa ushawishi wa kibinadamu.
Hp ss tuko pamoja una bahatiiiiiiii!
 
Vijeba vya Jf bana hii point mnachekeshaga, humu kila kidume hawezi kuishi na mwanamke aliemsaliti hivi serious serious humu wake zenu hawaliwi???acheni faraja za uongo na kujitutumua uongo kisa mpo nyuma ya keyboard
 
Habari wakuu,

Mimi sikubaliani na kitendo cha kumuacha mwanamke unayempenda kisa kakulet down au kakukwaza kwa namna moja ama nyingine.

Kila mwanamke ana maudhi yake. Kikibwa na kumchagua mmoja ambaye unaweza vumilia madahifu yake. Hakuna mkamilifu hata mmoja.

Ukisema kila anayekukatisha tamaa unamuacha, utajikuta umetongoza dunia.

Nakubaliana na usemi mwanamke kaa naye kwa akili si kwa maguvu na ubabe. Jifanye mjinga siku ipite. Kumbuka Mke ni baraka na heshima ndani ya nyumba. Tukosoane kwa upendo na heshima. Mia
Nikimuacha wewe unaumia nini? Tulipoanzana ulikuwepo? Kila lenye mwanzo lina mwisho
 
Dah... naona bdo unazunguka jamaa kauliza "ww ushawahi kuacha ama kuachwa? ukajibu tofauti kabsaaaaa kwamba "mm cjaoa" jamaa akakwambia mada yko imeongelea kuhusu kuachana tu co lazma kwenye ndoa so jibu swali acha maneno meeengi hujui baada ya kumpa jibu jamaa anataka kuongea nn mnatukosesha uhondo wasomaji!
Hahaa kwakweli wanatukosesha uhondo wasomaji
 
Anaachwa aliye bora anaenda kwa bora mwanamke
 
Vijeba vya Jf bana hii point mnachekeshaga, humu kila kidume hawezi kuishi na mwanamke aliemsaliti hivi serious serious humu wake zenu hawaliwi???acheni faraja za uongo na kujitutumua uongo kisa mpo nyuma ya keyboard
Tena wengine wanajua kabisa kama wake zao sio lakini wapo tu lakini wakija humu utazani wameoa malaika
 
Sidhani kama kakuudhi mara moja ndo lije wazo la kuachana!
Huwa linapokuja suala la kuachana ni uvumilivu huwa unafika mwisho.

Lakini kama kakosa mara ya kwanza kuna kuongea na kuweka mambo sawa! Kuna wengine hutumia fursa ya upendo kuwaumiza wengine na hii ipo kwa pande zote mbili.

Kwenye mapenzi mikwaruzano ipo sana na mara nyingi huwa inaimarisha mahusiano lakini yale ya kumuumiza mwingine kisa tuu unajua anakupenda hiyo ni HAPANA, utavumilia utachoka moyo wenyewe ndo huamua kwamba hapa basi, yaani yatoshaaa!!
Thumbs up
 
Unajipa no sweat tu we mwanadada, kuachwa anaweza akaaachwa he au she ndio mana kuna talaka document
 
Sifanyi ujinga huo na makofi kazi yake nini
Sio suluhisho. Unampiga nawe sheria inakupiga. Kipi bora, kumaliza mgogoro au kukomoana? Watakupotezea muda sana sababu unaweza kuua.
 
kwani kuna kikomo cha kuacha unaacha tu hata 10,70,666,700.....au hata 1000.
 
Sidhani kama kakuudhi mara moja ndo lije wazo la kuachana!
Huwa linapokuja suala la kuachana ni uvumilivu huwa unafika mwisho.

Lakini kama kakosa mara ya kwanza kuna kuongea na kuweka mambo sawa! Kuna wengine hutumia fursa ya upendo kuwaumiza wengine na hii ipo kwa pande zote mbili.

Kwenye mapenzi mikwaruzano ipo sana na mara nyingi huwa inaimarisha mahusiano lakini yale ya kumuumiza mwingine kisa tuu unajua anakupenda hiyo ni HAPANA, utavumilia utachoka moyo wenyewe ndo huamua kwamba hapa basi, yaani yatoshaaa!!
Nakazia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom