Ku unlock iPhone 4s Verison

Uprising

Member
May 25, 2009
51
27
Wakuu nina 4s Verison, nishahangaika sana ku-unlock, nilimpelekea fundi Sele pale Samora naamini wengi mnamjua naye kachemsha yaani nimekwama kabisa!!
Mtu aliinunua US akaleta
 
naomba uniuzie nnaham ya kuwa na hyo cm hata kama ni pambo.
 
mkuu kama ina sehemu ya kuingiza line nicheki kwa namba 0753196849 before jnne nikufanyie mambo.

Back
Top Bottom