Ku-date Mzungu raha sana

Ku-date Mzungu raha sana

Nmejisikia tu.
IMG_20191224_115140.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko kwa relationship na kaka m1 Mzungu mpk raha. Anacare sana halafu anajitambua sana, anajua anataka nini kwa haya maisha. Kama kuna kitu anasema direct hafichi hayuko mnafki.

Ananisaidia masomo yngu sana sana anatomy. Hata kama kesho akiwa anatakiwa kuwahi kazini lakin nikihitaji anifundishe anaweza kukaa hta mpk saa nane usiku kwa ajili yng. Km nikiwa na exams ananifundisha, tunakuwa tunasoma wote pamoja. Mimi sio msomaji lakin kwa sasa shule yng inaenda sawa.

Halafu anajua sana romance, anajua ku care, anajua kukiss. Kisses ndio ma sickness

Tuna miezi mi4 tu lakin nahisi km nko nae miaka, nimejifunza mambo mengi sana kwake hasa maisha. Nimegundua kudate na mwanaume above 30 ni raha sana kwa sababu anajitambua na ni muelewa sana. Ila tatizo lake moja anataka kujua kila kitu, naongea na nani? Nachat na nani? Nko wapi nafanya nini. Kwa ufupi anataka kujua kla step ninayopiga. Tabia yke hii ya kufuatilia tu ndio siipendi ila sehem nyingine kote yko ok. Nadhani ninemeet na love of ma life
Vipi kwenye hela?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijapata kuona comment za chuki kama hizi,hivi ni kwanini huwa hatupendi kusikia habar nzuri za wengine?
Hongera Bibie kwa kuopoa mzungu wako wapo poa sana na kuna ambao wana tabia chafu na nzuri kama tu sie ngozi nyeusi cha msingi kuwa makini.Fuata akili yako na sio moyo wako.Enjoy kwa raha zako.Usisikilize maneno ya wenye husda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko kwa relationship na kaka m1 Mzungu mpk raha. Anacare sana halafu anajitambua sana, anajua anataka nini kwa haya maisha. Kama kuna kitu anasema direct hafichi hayuko mnafki.

Ananisaidia masomo yngu sana sana anatomy. Hata kama kesho akiwa anatakiwa kuwahi kazini lakin nikihitaji anifundishe anaweza kukaa hta mpk saa nane usiku kwa ajili yng. Km nikiwa na exams ananifundisha, tunakuwa tunasoma wote pamoja. Mimi sio msomaji lakin kwa sasa shule yng inaenda sawa.

Halafu anajua sana romance, anajua ku care, anajua kukiss. Kisses ndio ma sickness 😘

Tuna miezi mi4 tu lakin nahisi km nko nae miaka, nimejifunza mambo mengi sana kwake hasa maisha. Nimegundua kudate na mwanaume above 30 ni raha sana kwa sababu anajitambua na ni muelewa sana. Ila tatizo lake moja anataka kujua kila kitu, naongea na nani? Nachat na nani? Nko wapi nafanya nini. Kwa ufupi anataka kujua kla step ninayopiga. Tabia yke hii ya kufuatilia tu ndio siipendi ila sehem nyingine kote yko ok. Nadhani ninemeet na love of ma life 😊
na hio ndio tofauti kati ya sisi wa afrika na watu weupe hakuna wachache sana manamkw au mwanume mweusi anaweza akafanya vitu vyote hivo for love...halafu unajidhihirisha kwamba hupendi kufuatililiwa hivi wewe unamcare mtu kiasi hiko maana yake lazima umfuatilie a cha upumbavu by the way najua ni chai ila badilika acaha tabia za kisawahili
 
Niko kwa relationship na kaka m1 Mzungu mpk raha. Anacare sana halafu anajitambua sana, anajua anataka nini kwa haya maisha. Kama kuna kitu anasema direct hafichi hayuko mnafki.

Ananisaidia masomo yngu sana sana anatomy. Hata kama kesho akiwa anatakiwa kuwahi kazini lakin nikihitaji anifundishe anaweza kukaa hta mpk saa nane usiku kwa ajili yng. Km nikiwa na exams ananifundisha, tunakuwa tunasoma wote pamoja. Mimi sio msomaji lakin kwa sasa shule yng inaenda sawa.

Halafu anajua sana romance, anajua ku care, anajua kukiss. Kisses ndio ma sickness

Tuna miezi mi4 tu lakin nahisi km nko nae miaka, nimejifunza mambo mengi sana kwake hasa maisha. Nimegundua kudate na mwanaume above 30 ni raha sana kwa sababu anajitambua na ni muelewa sana. Ila tatizo lake moja anataka kujua kila kitu, naongea na nani? Nachat na nani? Nko wapi nafanya nini. Kwa ufupi anataka kujua kla step ninayopiga. Tabia yke hii ya kufuatilia tu ndio siipendi ila sehem nyingine kote yko ok. Nadhani ninemeet na love of ma life
Ukidate na mchina tupatie mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujua kla ninachofanya sio tatizo. Tatizo kuna muda naona kabisa anataka kunipangia hadi watu wa kuwasiliana nae. Mfano hataki niwasiliana na x boyfriend wangu hta ndugu zake. Wakat anajua kabisa hakuna ktu kitakuja kutokea kati yng na x. Na wala hatuwasiliani mara kwa mara mpk itokee kweli. Kuwasiliana na x inaweza ikawa sio sahihi lakin ndugu au rafiki zake wanahusu nn?
Vipi na yeye akiendelea kuwa na mawasiliano ex wake, utapenda!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom