feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 8,546
- 17,244
Kwanini hutaki ajue kila unachofanya?
Na hiyo ndiyo sifa pekee inayowaangusha wadada wa kiswahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawapa. Nahisi bado mapema kuwaambiaKwenu Umewapa Taarifa Hii?
Kwanini?
Kuzaa 😂 kwani nawahi wapi? Sina mategemeo hayo kwa sasa.
Haishi na mbwa. Yeye mwenyewe anasema anapenda mbwa lakin sio kuishi nao
Mimi Sina mambo mengi ila napenda kuwa free sipendi kufatiliwa ati nko na nani nafanya nini? Huwa naona kama kero kwanguWanajijua wana Mambo mengi. Kukuamini dada wa kiswahili ni kazi sana. Unaweza ukampaka kila kitu Ila siku ukishika simu yake unaweza jikuta unazimia.
Ndio inapaswa uanze kuzoea. Kuna siku utaolewa utakuwa chini ya himaya ya mme wako, ambaye utapaswa kutolea maelezo ya safari zako, ulipo na ufanyalo kwa wakati husika.Mimi Sina mambo mengi ila napenda kuwa free sipendi kufatiliwa ati nko na nani nafanya nini? Huwa naona kama kero kwangu
Mbona kla mtu anauliza hili swali. Mna nn nyie?
Sisomeshwi na kijiji na Sijawahi kusomeshwa na kijijibila shaka kijiji kimekuchangia ukasome, acha ujinga.
Nimempokea ila sio kama muokozi wa maisha yangu.
Sijawahi kusaliti ktk mahusiano yoyote yale.Tatizo hilo,unamsaliti then unataka upendwe 100%
Nimesema anaweza akachelewa kulala Sijasema kuchelewa kazini. Kama akiwa na kazi ya muhimu anaweza hata asilale kabisa mpaka iishe. Jumapili ndio siku yake ya kulala sana. Anaweza akalala aka amka saa nane mchana.Mchunguze vizuri, Huyo si mzungu' labda mkongoman kajichubua kapaka na piko ya rangi kichwani. Wazungu culture yao wanapenda kuwa busy, sasa huyo yupo busy anakufuatilia na asubuhi ni bora achelewe kazini kwa ajili yako? Mchunguze huyo dawa za kujichubua ni kali sana siku hizi.
Sio babu ni kijana ila tu tumepishana miaka 13Wengi mnaangukiaga kwa vibabu au wazungu vichaa ila all in all hongera maana miezi minne na hawa waasisi wa ndoa za jinsia moja am sure 0712 itakuwa imekula seal zote saizi unamwaga tu oil