Ku-block mtu Calls za Kawaida

Ku-block mtu Calls za Kawaida

Nikidownload true caller no other operations to be done? Then how na-block the desired number?
Haaa mkuu huwa ukidownload app nani huwa anakuja kukufundisha namna ya kutumia? App zote zipo katika mfumo wa GUI yaani unaangalia unachotaka then una click.

Acha ku-act kama Bashite mkuu🙂🙂🙂
 
Call namba yake kisha kata, baada ya kukata bonyeza hiyo namba nenda kwenye options utaona imeandikwa blacklist, bonyeza hapo utakuwa umemalizia zoezi lako
 
Easy filter ipo poa sana una select namba unayo taka kuiblock tu
 
Call namba yake kisha kata, baada ya kukata bonyeza hiyo namba nenda kwenye options utaona imeandikwa blacklist, bonyeza hapo utakuwa umemalizia zoezi lako
Ukishamblock akikupigia yeye anapewa ujumbe gani mkuu?
 
Kama unatumia android ingia playstore download Easy filter hiyo ndo kiboko yao inablock calls sms mpaka promotion message za airtel,voda tigo n.k hapa nimewablock airtel deni lao la TIMIZA
Maana ninampango wa kulipa sizonje akitoka madarakani 2020
😀😀😀😀
Hahahaha mkuu dawa ya deni ni kulipa aisee.
 
Nime install iyo easy filter, nkaiblock certain number kujaribu inasema namba inatumika
Ni za kipumbavu tu,mimi nataka nikimblock mtu akinipigia imwambie kuwa sipatikani hewani!
 
Ni za kipumbavu tu,mimi nataka nikimblock mtu akinipigia imwambie kuwa sipatikani hewani!
Hata mim nataka kitu kama hicho, playstore apps za blacklist nyingi mno but zote hizo anaekupigia atajua tu umemblock
 
Zote hizi ni za uongo kwa sababu ukimblock mtu kupitia true caller au zile application nyingine kule playstore akikupigia huwa anaambiwa kuwa amekuwa blocked na mwenye simu!!........what the shit!![emoji32][emoji32][emoji32].........mimi nataka app ambayo nikimblock mtu akinipigia aambiwe kuwa sipatikani hewani!!
Si kweli inakata tuu haisem kitu
 
Si kweli inakata tuu haisem kitu
Sasa ikikata mwenye simu si atafikiri kuwa unamkatia simu yake??[emoji32][emoji32][emoji32].........mimi nataka ambayo itamwambia kuwa sipatikani hewani kwa muda huo!
 
Sasa ikikata mwenye simu si atafikiri kuwa unamkatia simu yake??[emoji32][emoji32][emoji32].........mimi nataka ambayo itamwambia kuwa sipatikani hewani kwa muda huo!
Haitaonyesha such notification Mkuu, zaidi inatoa mlio like ni tatizo la mtandao.
 
Back
Top Bottom