white hat
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 3,320
- 2,489
Kama unatumia android ingia playstore download Easy filter hiyo ndo kiboko yao inablock calls sms mpaka promotion message za airtel,voda tigo n.k hapa nimewablock airtel deni lao la TIMIZAJukwaani tafadhali nawaomba nisaidieni namna ya kuzuia mtu asinipigie kwenye mwito wa simu wa kawaida. Upande wa WhatsApp sina tatizo napo, lakini mwito wa kawaida wa simu sifahamu hatua zinazochukuliwa ili kuzuia mtu asikupigie.
Nawasilisha nikiwa na matumaini makubwa ya kusaidiwa katika hili.
Maana ninampango wa kulipa sizonje akitoka madarakani 2020
😀😀😀😀