Ku-block mtu Calls za Kawaida

Jukwaani tafadhali nawaomba nisaidieni namna ya kuzuia mtu asinipigie kwenye mwito wa simu wa kawaida. Upande wa WhatsApp sina tatizo napo, lakini mwito wa kawaida wa simu sifahamu hatua zinazochukuliwa ili kuzuia mtu asikupigie.

Nawasilisha nikiwa na matumaini makubwa ya kusaidiwa katika hili.
Nenda play store download blacklist app utakata incoming calls zote usizohitaji
 
Zote hizi ni za uongo kwa sababu ukimblock mtu kupitia true caller au zile application nyingine kule playstore akikupigia huwa anaambiwa kuwa amekuwa blocked na mwenye simu!!........what the shit!!.........mimi nataka app ambayo nikimblock mtu akinipigia aambiwe kuwa sipatikani hewani!!
Mkuu,haisemi kama mekuwa bloked...Inaonesha uliempigia yuko busy,jaribu
 
Ingawaje sijui anayenipigia anaambiwaje! Ulishacheki ama kujua uliowablock wanaambiwa nini wakikupigia? Please km una info hiyo julisha mdau.
Hawa ambiwi kitu ila haitaita bali inakata kimyakimya
Afu utaona mic cal yake
 
Ukijibiwa nambie
Mimi navyofanya,kama naipiga namba husika kisha naikata kabla haijaita.
Naenda kwenye app ya true caller naifingua, itanionesha dialled na received numbers,nnahold itanletea OPTIONS
sketch-1494087387599.jpg
 
Ingawaje sijui anayenipigia anaambiwaje! Ulishacheki ama kujua uliowablock wanaambiwa nini wakikupigia? Please km una info hiyo julisha mdau.
Block namba ya mtu kisha jifanye unajipigia
 
Back
Top Bottom