Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,192
Ualimu ni sekta kubwa sana huwezi linganisha na hospitali. Wafanyakazi wa hospitali ya wilaya wote ni sawa na wafanyakazi wa shule 10 tu.Udaktari na ualimu soon tofauti yao itakua ni majengo tu..mana kazi zitakosa kwakua mko wengi na mnazidi kujazana kitaa..chamsingi anza kutafuta mishe zingine tofauti kama biashara na konekisheni kubwa kubwa..tofauti na hapo utarudi kitaa kusugua bench.
#MaendeleoHayanaChama
Kuna mashule mangapi yanajengwa kila leo ?
Shida ya ualimu ni kooato sio kipata kazi kwa mtu mjanja.
Bado ualimu unafursa za kujiajili nyingi kuliko udaktari.
Udaktari ni fani yenye heshima basi.