Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,318
- 8,228
Sasa mkuu nawewe ilitakiwa usomee kompyuta ndio kitu unachokipenda huko sijui ulikimbilia kufanya nini. 😂😂😂😂. Ngoja umalze utupiwe porini huko hakuna hata umeme wa kuwashia kompyuta.kwa upande wangu naona kama muda unao wa kutosha tafuta short course hasa kwa vitu unavyoona we mwenyew vitakusaidia kwa namna moja ama nyingine wakati wa kazi au hata kam ujapata kazi baada ya kumaliza.
Mimi pia nasoma udaktari ila nasoma short course ya graphic design na nitaendelea hata long course nikimliza kusoma udktr. lengo nifnye technology huk pia ni dktr najua sitaweza kukosa cha kufnya nikimaliza kusoma
ko cha msingi ni ww mwenye kuona unataka uwe vipi, cuz hakuna mtu atakae weza kukuambia usome kitu kwa passion yake sio yake, mfn siwez nikuambie usome graphic wakt hatjua jinsi ya kuitumia