Unataka wagonjwa wawe wanaonewa kama tunavyoonewa na mapolisiHabari Tanzania !.
Naomba mamlaka husika kuanzia NACTVETA na TCU kozi zote za afya ziwe na mafunzo ya kijeshi kwa ulazima aisee. Yaani hao jamaa wakihitimu iwe vyuo binafsi au vya umma waende walau kozi ya kijeshi isiyopungua miezi 6 mpaka mwaka 1. Na wawe askari kamili.
Asante.