Kozi za Afya zote ziwe na mafunzo ya kijeshi

Kozi za Afya zote ziwe na mafunzo ya kijeshi

JKT ile ya 6 ni siasa tu. Hapa nazungumzia jicho la taifa. Leo hii nchi inaweka usawa wa ulazima jamii ishiriki afya kwa wote. Unazani pasipokuwa na mafunzo hayo maalumu kwa hawa watu kutachochea molari kwao. Ukumbuke jeshi ni mambo ya kutii amri. Tunapaswa kuwa kwenye anga hilo.

Mkuu, Hosipitali ni akili sio nguvu, Jeshini ni nguvu sio akili.

Huoni kwamba haviendani kabisa. Halafu huwezi ku-millitarize taasis nyeti kama hii ambayo ina deal na wagonjwa, utakua huna akili na mostly-lazima wagonjwa wapate poor customer service.
 
Jeshi gani unalolijua wewe wanatumia nguvu na sio akili hapa duniani lipo wapi !?..
 
sababu uliyoitoa ya kupendekeza watumishi wa afya kwenda mafunzo ya jeshi ni ili WAJIFUNZE UZALENDO ili wawe WAZALENDO.

Tanzania hii mzalendo alikuwa NYERERE na SOKOINE kwa kizazi kilichopita

Kwa kizazi chetu mzalendo ni LISU.

Huko serikalini ni nani aliye mzalendo?

unajua maana ya uzalendo.
na usalama wa taifa raia mipaka ma mali zake.

sasa kama ndani ya nchi kuna eneo la ardhi linamilikiwa na falme za kiarabu,himaya ya falme za kiarabu,bunga ya hifadhi loliondo.

kama bandari ambayo ni lango la nchi ..inamilikiwa na waarabu.
bandari zote.

migodi ,machimbi ya makaa ya mawe,gesi n.k

RISHWA NA UPIGAJI umetamalaki maifisini ..fuatilia ripoti zote za CAG.

matrafiki mababarani,na maaskari

UZALENDO..unajua maana ya uzalendo.

UCHAWA SIO UZALENDO...kusema anaupiga mwingi sio UZALENDO.

Kama wanacho wote wakiamua kuwa wazelendo kweli,basi itabidi MAFISADI wote wapiga dili wote waondolewe na wanachi wazalendo.

NINI MAANA YA UZALENDO? JE UNA MAANA UCHAWA NDIO UZALENDO??
 
Attachments

  • images - 2026-03-01T095310.232.jpeg
    images - 2026-03-01T095310.232.jpeg
    36.2 KB · Views: 4
  • images - 2026-03-01T095047.489.jpeg
    images - 2026-03-01T095047.489.jpeg
    30.8 KB · Views: 5
  • images - 2026-03-01T095035.629.jpeg
    images - 2026-03-01T095035.629.jpeg
    37 KB · Views: 6
  • images - 2026-03-01T095053.198.jpeg
    images - 2026-03-01T095053.198.jpeg
    16.9 KB · Views: 7
  • images - 2025-10-27T103615.631.jpeg
    images - 2025-10-27T103615.631.jpeg
    59.3 KB · Views: 5
  • images - 2025-10-27T103633.571.jpeg
    images - 2025-10-27T103633.571.jpeg
    26 KB · Views: 7
  • images (83).jpeg
    images (83).jpeg
    9.6 KB · Views: 8
  • images (82).jpeg
    images (82).jpeg
    25.3 KB · Views: 5
  • images - 2025-10-27T103523.903.jpeg
    images - 2025-10-27T103523.903.jpeg
    40.5 KB · Views: 5
  • images - 2025-03-30T151312.851.jpeg
    images - 2025-03-30T151312.851.jpeg
    35.1 KB · Views: 6
  • images - 2025-03-30T151346.923.jpeg
    images - 2025-03-30T151346.923.jpeg
    24.1 KB · Views: 6
  • images - 2025-03-30T151155.234.jpeg
    images - 2025-03-30T151155.234.jpeg
    18.7 KB · Views: 6
  • images - 2025-04-06T170815.462.jpeg
    images - 2025-04-06T170815.462.jpeg
    49.9 KB · Views: 5
NA SIKU WANANCHI WOTE WAKIAMUA KUWA WAZALENDO KIKWELI KWELI WAKAWA NA UCHUNGU NA NCHI YAO kama mnavyotaka uzalendo uzalendo..siku uzalendo wa kweli ukitokea ukiachilia mbali huu uchawa.

siku uzalendo wa kweli ukitokea watu wakiamua kuwa wazalendo kweli kweli...wataikomboa nchi yao mikononi mwa mafisadi.
 
Labda niende bila kujitambua. Ila nikiwa na akili timamu hata kwa kafara hunipeleki
Utakwenda. Hutaki, acha kusomea kozi ya afya yoyote. Kwenye kozi za afya hakutafutwi utajiri kule au umaarufu, au shangwe kwa familia yako kuwa fulani kawa mtu fulani hapana.
 
Habari Tanzania !.

Naomba mamlaka husika kuanzia NACTVETA na TCU kozi zote za afya ziwe na mafunzo ya kijeshi kwa ulazima aisee. Yaani hao jamaa wakihitimu iwe vyuo binafsi au vya umma waende walau kozi ya kijeshi isiyopungua miezi 6 mpaka mwaka 1. Na wawe askari kamili.

Asante.
Bangi mbichi.
 
Kwanini Mkuu
 
Mwanajeshi hatakiwi kubembeleza mtu,
Mgonjwa kuna wakati anahitaji bembelezo mkuu
 
Mwanajeshi hatakiwi kubembeleza mtu,
Mgonjwa kuna wakati anahitaji bembelezo mkuu

Anakichaa huyo, ndo akili za Magu hizo, alisema anataka kuchagua Timu ya Taifa kutoka Jeshini 🤣

Yaaani sehemu ya kutumia Akili, mnataka kuweka Nguvu.
 
Anakichaa huyo, ndo akili za Magu hizo, alisema anataka kuchagua Timu ya Taifa kutoka Jeshini 🤣

Yaaani sehemu ya kutumia Akili, mnataka kuweka Nguvu.
Au wanafkir upasuaji unafanyw kwa bunduki
 
Habari Tanzania !.

Naomba mamlaka husika kuanzia NACTVETA na TCU kozi zote za afya ziwe na mafunzo ya kijeshi kwa ulazima aisee. Yaani hao jamaa wakihitimu iwe vyuo binafsi au vya umma waende walau kozi ya kijeshi isiyopungua miezi 6 mpaka mwaka 1. Na wawe askari kamili.

Asante.
Hujaona uzi wa madokta wanalialia mshahara laki nane take home.

sasa waende tena jeshi kupoteza muda kwani wanajeshi waliopo hawatoshi?

KIMSINGI HAO WATAALAMU WANATAKIWA KUONGEZEWA MSHAHARA ILI WAFANYE KAZI KWA UTULIVU NA WAZIDI KUBOBEA.TOFAUTI NA HAPO WATAANZA KUKIMBIA HIZO FANI NA KUBAKI NA UHABA MKUBWA.
 
Back
Top Bottom