Kozi za Afya 2016/17, Ushauri na maoni

me ninayo ya mwaka jana bt nadhani hakuna mabaliko waweza tumia[boyosamwel@gmail.com]
 
ufadhil kwa masomo ya afya
jee Luna namnayoyote ya kupata ufadhil kwa MTU anaetak kusoma kozi ya diploma ya clinical officer
 
jee kuna namna ya kupata ufadhil kwa MTU anaetaka kusoma clinical officer
 
Kuna mdogo wangu wa kike kamaliza kidato cha Nne ana div 4 ya 30
CIV - 'F' HIST - 'D' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'F' COMM - 'F' B/KEEPING - 'F'. Anapenda kusomea Nursing je kwa maksi hizo anaweza kupata nafasi?
 
Hawezi
 
Nieleweshe hiyo govrn sponsor. Kuna kua na watu special watakao ipata au mtu yeyote yule? And huko kusoma masomo frm asubuh had sa7 ni kwa course zipi haswa.
 
Nieleweshe hiyo govrn sponsor. Kuna kua na watu special watakao ipata au mtu yeyote yule? And huko kusoma masomo frm asubuh had sa7 ni kwa course zipi haswa.
Mtu yeyote yule anaweza pata kama ukiomba na ukawa na matokeo mazurii ndo maana nikasema hio Competition yake huwa inakuwa kubwa kuliko Evening! So unaweza pata itategemea namba ya watu walio omba na idadi ya watu wanao hitajika!

Mostlty Radiography ndo huwa wanakuwa na Utaratibu huo na Phamarcy mara chache ila kozi zingine zote ni wanasoma wote asubuhi kama nursing,medical,dental na zingine ila Radiography huo utaratibu ndo utumika sanaaaaaaa
 
Asante kwa majibu mazuri. Ubarikiwe
 
Asante pia. Swal lingine. Ukikosa hiyo sponsor ndio unakosa chuo au ni vipi?
NDIO UNAKUWA UMEKOSA KABISA NAFASI Labda uombe tena mwezi wa kumi

Yaani nikisema Gov.Sponsored kwamba wewe kuna vitu utatofautiana na Mtu wa Evening kama vile ada ya mtu wa Gvr.ni ndogo kulinganisha na private (evnng), utapewa chumba lakini mtu wa Prvt hata pewa

Mfano Mtu wa Gv.Sponsored sahizi ana Lipa ada kiasi cha Laki 4.5,lakini anajite gemea chakula na hela ya Field! Halafu mtu wa Evening ada Analipa almost 1.5M huku anajitegemea sehemu ya kulala,chakula na hela ya Field
 
Asante kwa ufafanuzi. Ni ukitaka kuomba kote gorvn sponsor na private inakuaje? Ili ukikosa huku ukae huku
 
Asante kwa ufafanuzi. Ni ukitaka kuomba kote gorvn sponsor na private inakuaje? Ili ukikosa huku ukae huku
Hahahahahaha umenifurahisha......Hapana utaratibu huo Haupo unachukua Form moja tuuu kama Ni Gv. au Private huruhusiwi kujaza Zote mbili, Pia Nakushauri kama unataka kuomba jaribu kumtumia ndugu yako anae soma hapa au mtu yeyote anaye Soma hapa kama upo mbali na kama upo karibu jaribu kuja Chuoni upate mtu atae kusaidia kuomba ili uwe na uhakika maana unaweza kuomba ukakutwa umepangwa Tanga au Mpwapwa sehemu ambazo hukutegemea na Mengine Mengi
 
Magumashi yapo nikajua na hapo yapo pia .Wakitoa form nitakuja mwenyewe kufuatilia. Namuombea mtu. Eeh kumbe kuna mpwapwa na Tanga uhiii nilikua cjui. Asante kwa taarifa yaaan ningeng'aza sharubu mbona
 
Magumashi yapo nikajua na hapo yapo pia Wakitoa form nitakuja mwenyewe kufuatilia. Namuombea mtu. Eeh kumbe kuna mpwapwa na Tanga uhiii nilikua cjui. Asante kwa taarifa yaaan ningeng'aza sharubu mbona
MaGumashi yapo kila Sehemu Ndugu yah Kama ni hivyo its better ukaja mwenyewee baada ya kujaza Form wakati wa kurudisha!
 
MaGumashi yapo kila Sehemu Ndugu yah Kama ni hivyo its better ukaja mwenyewee baada ya kujaza Form wakati wa kurudisha!
Ngoja nilale. Nitakuuliza mengine kesho. Maana naona maswal hayaniishi. Usinichoke tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…